Kunani dodoma ?

Kunani dodoma ?

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,510
Reaction score
6,893
  • Hospital ya vichaa dodoma
  • Gereza la la vichaa dodoma
  • Makao makuu ya nchi kuhamia Dodoma kabla ya 2020
 
Hoja yako haswa ni ipi, Kwa hiyo Hospitali ingekua Mbeya au Mwanza bado ungehoji? Ulitaka iwekwe wapi hiyo hospitali ili uridhike embu tueleze.
 
Dodoma ni Centre as uhitaji wa hivo vitu ulivosema ni mdogo kila mkoa inabidi viwekwe sehem rahisi kufikika na kila mkoa kirahis, hata serikal pia logic ni hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom