Semeni Bugoke
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 390
- 675
1
Leo katika mihangaiko yangu akati nipo katika usafiri wa umma mitaa ya sinza africa sana kukawa na kijifoleni kuuliza uliza kuna mwananke kakutwa kafa katika maua ya pale barabarani kabla ya kufika africa sana nikasikitika tu baadhi ya watu waliokua wakiongea baadhi ya maneno kama "malaya kafia kazini"
2 tukapita hapo tukaacha hilo sakata sasa akati daladala limesimama kituoni kusubilia abiria kituo cha sinza mori basi nikashuka zangu ili nivuke barabara niendelee na mishe zangu kuna dada nae akawa anataka kuvuka konda kwa utani akawa anataka amvushe ila akamwacha yule bint ile anavuka hakufanikiwa boda boda ikampitia binti akagalauka vibaya mno simu kule betri kule na pesa yake aliishika mkononi elfu 20 ikawa imeanguka mzozo pale konda mmoja akamsaidia ile elfu 20 akaichukua akaiweka mfukoni kwa yule dada huku bado akizidi kugalauka me nimeshikwa na butwaa baada ya tukio lile mara namuona harmonize katokea akitaka kumsaidia yule dada na akafanyikiwa akamnyanyua akamuingiza kwenye v8 lake huyo nduki ...
Nikaona nirudi zangu ghetto nikalale tu