IN MAGUFULI AND SHEIN WE TRUST

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
127
231
Watu watano,hata mngekuwa kumi hadi elfu moja,uwe kijana,umri wa kati au mzee thamani yenu ni ndogo sana mbele ya Watanzania zaidi ya Milioni 55.

Mshukuru sana sheria zetu zimekuwa soft soft kama huu uhuni ungelifanywa North Korea DPKR Kwa Mzee wa Kiduku Kim Jong Un Nyie adhabu yenu ni Kifo tuu hakuna namna.

Mzee Makamba,Mzee Kinana Wakati wenu umepita mnapaswa kutulia,Kama suala ni kutoa ushauri tutawatafuta sio nyie mtutafute.Nawakumbusha tuu Nape,Makamba Jr na Ngeleja kumbukeni kila kitabu na zama zake

#T2020JPM

IN MAGUFULI AND SHEIN WE TRUST

Vitalis Konga(Mwana Vasamwenda)
Njombe Mjini
 
Back
Top Bottom