Watu 6 wafariki kwenye ajali Kahama

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Watu sita wafariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa katika ajali ya gari

Watu sita wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika eneo la nyambula kata ya Ngogwa Wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya gari aina ya Totoya hiace yenye namba za usajili T 710 AZZ na Gari aina ya Land cruiser yenye namba za usajili T 477 ATC.
Ajali hiyo imetokea jana Jumapili Julai 21,majira ya saa moja usiku.

Inaelezwa kuwa waliopokelewa hospitali jana usiku walikuwa 24,wawili wakaruhusiwa, 22 wakabaki mpaka asubuhi, watatu wamepelekwa Bugando kwa matibabu zaidi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao ambaye alikuwa katika hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Kahama amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa hiace iliyokuwa na abiria ikitokea Kakola kwenda Kahama Mjini.

Amesema barabara ya Kakola Kahama imekuwa vumbi nyingi kutoka na kutumika na magari mengi baada ya kuibuka kwa machimbo mapya ya Kakola Namba 9 na kuwataka madereva wote kuchukua tahadhari kwa kutoendesha kwa mwendo kasi ili kuzuia ajali.

Kamanda Abwao amesema leo atatoa taarifa rasmi za ajili hiyo ikiwemo majina ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea usiku wa kuamkia leo.

Boniface Makoye shuhuda wa tukio hilo amesema baada ya ajali hiyo kutokea abiria wengi walijeruhiwa na aliweza kuwaokoa baadhi yao ambao walikuwa wamenaswa na vyuma katika hiace hiyo.

shuhuda wa tukio hilo amesema baada ya ajali hiyo kutokea abiria wengi walijeruhiwa na aliweza kuwaokoa baadhi yao ambao walikuwa wamenaswa na vyuma katika hiace hiyo.
 
R.I.P .....high speed kills..
 
Hiyo barabara imekuwa machinjio ya watu, hivi kwanini wasipige marufuku matumizi ya hiace zibaki TATA na mabus makubwa?
 
Nikadhani ungependekeza barabara iwe ya lami kabisa labda vumbi nayo ni changamoto nyingine hasa hasa kwa hawa madereva wetu bila ya kuwasahau wale wa ma STK,STL, PT, DFP, DFPA nk?
 
Hiyo barabara imekuwa machinjio ya watu, hivi kwanini wasipige marufuku matumizi ya hiace zibaki TATA na mabus makubwa?
Wewe nunua za kutosha serikali itapiga marufuku hizo hiace!
 
Watu sita wafariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa katika ajali ya gari

Watu sita wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika eneo la nyambula kata ya Ngogwa Wilayani Kahama mkoani Shinyanga baada ya gari aina ya Totoya hiace yenye namba za usajili T 710 AZZ na Gari aina ya Land cruiser yenye namba za usajili T 477 ATC.
Ajali hiyo imetokea jana Jumapili Julai 21,majira ya saa moja usiku.

Inaelezwa kuwa waliopokelewa hospitali jana usiku walikuwa 24,wawili wakaruhusiwa, 22 wakabaki mpaka asubuhi, watatu wamepelekwa Bugando kwa matibabu zaidi.

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Richard Abwao ambaye alikuwa katika hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Kahama amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa hiace iliyokuwa na abiria ikitokea Kakola kwenda Kahama Mjini.

Amesema barabara ya Kakola Kahama imekuwa vumbi nyingi kutoka na kutumika na magari mengi baada ya kuibuka kwa machimbo mapya ya Kakola Namba 9 na kuwataka madereva wote kuchukua tahadhari kwa kutoendesha kwa mwendo kasi ili kuzuia ajali.

Kamanda Abwao amesema leo atatoa taarifa rasmi za ajili hiyo ikiwemo majina ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea usiku wa kuamkia leo.

Boniface Makoye shuhuda wa tukio hilo amesema baada ya ajali hiyo kutokea abiria wengi walijeruhiwa na aliweza kuwaokoa baadhi yao ambao walikuwa wamenaswa na vyuma katika hiace hiyo.

shuhuda wa tukio hilo amesema baada ya ajali hiyo kutokea abiria wengi walijeruhiwa na aliweza kuwaokoa baadhi yao ambao walikuwa wamenaswa na vyuma katika hiace hiyo.
poleni sana ndugu zetu wa kahama kwa ajali iliyotokea
 
Back
Top Bottom