Toka Mtandaoni na MenukaJr.

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,748
SISIEMU NI MACHOZI, VISASI, RISASI NA DAMU!!

Enhee!! Sasa tunakwenda vizuri. Sasa walau picha linaanza kutoa taswira. Kama ni gari taratiibu limeanza kushika mwendo!! Stering namuona kwa mbali na glass ya wine mkononi. Wacha tulinywe!!

Ni Machozi, Visasi, Risasi na Damu!!
Rostam weee!!! Mweee! Mweee!!! Mweee!!!
Huyu mtu achana nae. Weka mbali na watoto.

Kila kitu kimekwenda sawa isipokuwa tu amechemka ktk ku-regulate muda na matukio. Nasema kila kitu kimekwenda sawa na kitakwenda sawa. Wenye kulia tutalia, wenye kucheka watacheka!!

Unaikumbuka ziara ya Rostam pale White House?? Unakumbuka siku chache baadae Mzee Lowasa alirejea SISIEMU? Alisema amerudi nyumbani asiulizwe chochote.

Nataka uikumbuke kwanza kesi ya Mdogo wake Rostam ile ya utakatishaji pesa. Huyu alikamatwa na silaha mbalimbali handed nyumbani kwake, unakumbuka ilikoishia?? Rostam weee!!! Rostam Kiboko yao!!

Endelea kuunganisha matukio. Unaijua Televisheni ya Channel10? Vipi Kituo cha Redio cha MagicFM? Unawajua wamiliki kwa sasa?? Hizi ni mali za Rostam.

Channel 10 kwa sasa ni mali ya SISIEMU. Sijui kama tumepewa ila nina uhakika hatujainunua. Rostam Kiboko yao!!

Sasa rudi hapa twende pamoja.
Mwaka 1995 Rostam Aziz aliongoza makubaliano ya Urais wa SISIEMU. Wajumbe walikua JK, Lowassa, Kinana, Makinda, nk. Wakati huo Bashe alikua mdogo!!

Uamuzi ulikua JK atangulie Ikulu, kisha Lowassa afuatie 2010. Ndio ule Urais wa JK na Uwaziri Mkuu EL.
Baada ya ajali ya Richmond 2008, ndoto za Urais wa EL zikaingia dosari. Nguvu ikahamishiwa 2015.

Mtu mmoja aliyekabidhiwa na Rostam Lowassa kuwa Rais, alikua Kinana, ndio Ukatibu Mkuu ule ili kazi isiwe ngumu na mwingine alikua Makinda ndio Uspika ule.

Wakati huu akina Bashe, Musukuma, Millya, Lugola, Serukamba walijiset tayari kwa Urais. Walikua wengi mno, just to mention few.

Mtu wa kazi Rostam ndo alikua nyuma ya Kamera, Director. Ilipofika 2015 kwa sababu ya kuogopa visasi vya Richmond, Makepten wakabadili Gia angani, JK.

Lkn inatajwa pia nguvu ya Ben kuhusika. Si umemsikia Ben akitajwa ktk ile sauti? Hakuingizwa kwa bahati mbaya. Kuna mtu lazima awe mjinga hapa!!

Unayakumbuka maneno ambayo Bashe alimfurumushia Kikwete twitani alipomkaribisha Lowassa siku ya kurejea nyumbani.? Hizo ilikua ni salamu na sasa ni muendelezo wa cinema!! Tunaendelea kunywa mtori nyama tutazikuta chini.

Kimsingi, Kinana aligeuka adui namba moja wa timu Lowassa. Na kwa sababu Kinana alimtumia Nape kutekeleza azma ile, basi, Nape nae akaingizwa ktk list.

Kwa wale msiojua kinachoendelea sasa ni Visasi na Risasi. Lowassa hajawahi kushindwa jambo lake!! Tulipowashauri kuwa Lowasa atatugawa tulijua mambo haya. Kwa viburi vyenu hamkusikia, wacha tuyanywe!!

Lowasa haonekani front lkn yupo. Musiba amefanya kazi ambayo hata yeye hakujua ilikoanzia na lait angejua asingeliifanya. Musiba hatumiki na Rostam, Musiba anatumika na anaetumika na Rostam. Kuna mtu lazima anafanywa mjinga hapa!!

Ukitaka kuamini kuwa Rostam ndo yuko nyuma ya jambo hili kwa niaba ya Mzee Lowassa fuatilia mazungumzo ya Musiba ya hivi karibuni kisha tafuta mahala alipomtaja Rostam Aziz au Edward Lowasa. Hakuna!! Ukweli ni kwamba hakuna Mwana-SISIEMU mchafu kama Rostam. Hayupo!!

Ushahidi wa pili kwamba jambo hili liko nyuma ya Rostam ni kinachoendelea baada ya Taarifa kwa Umma. Fuatilia wanaotoa kauli na hukumu. Bashe, Musukuma, Millya ni pro-Lowasa typically. Ndo wamepewa jukumu la kujibu na si ajabu Serukamba akafuata na wengine wengi.

Katika hii Cinema kuna watu wamefanywa wajinga. Kuna watu wamepigwa chenga ya mwili bila kujua, wa pili ni Cyprian Musiba.

Usiniulize wa kwanza!! Sasa endeleeni kuuingia huu mkenge kama mazuzu. Siku chache zijazo timu Lowassa itakua na nguvu ktk SISIEMU Mpya kupita maelezo na msishangae wakiwaimbia tena wana Imani na Mzee.

Narudia, tulizeni akili zenu. Hii movie inachezwa na watu wenye akili kubwa. Nyie akina hohehahe kichwani acheni kucheza na jambo hili. Laleni usingizi tutawaamsha wakati wa Iyena Iyena. Hii ndo kazi mnaiweza vizuri kwa sababu inatumia nguvu si akili.

Vita ya akili hupiganwa kichwani, vita ya nguvu hupiganwa field.
Kwa ujinga wenu mnaweza kukipasua Chama chetu bila kujua!! Tuacheni wenywe vichwa tuipigane.

Kuendelea kusema sijui #Nasimama na flani ni Ujinga. Hivo ndo mnaingia ktk pattern zao, acheni mara moja. Simama na SISIEMU. Hivyo mtakwama tu!! Hii timu ni hatari, tena hatari mno!

Ni machozi, Visasi, Risasi na Damu.
Kinana hastahili hiki anachovuna leo, no matter wht!
#NarudiNyumbani, Msiniulize kwa nini!
IMG-20190721-WA0089.jpeg
IMG-20190721-WA0087.jpeg
 
#NarudiNyumbani, Msiniulize kwa nini! View attachment 1158922View attachment 1158923
Kwamba wakati wengine wanahangaika usiku na mchana kutangaza kazi kubwa ya maend.jpg
 
Mshana Jr, wacha porojo. Naona umezungusha zungusha sentesi nyingi hapa kama ile movie ya kutekwa na kupatikana kwa Mo. This is too low of you bro.
 
Back
Top Bottom