Hodi Jijini Dar Es Salaam

Hodi Jijini Dar Es Salaam

copernicucci98

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
1,232
Reaction score
2,384
Wa mkoani ametia timu.

Ni kawaida yetu tukiwa na safari ya kuja kuosha macho lazima tuweke akiba kwa muda..ili kupoza ugumu wa kuaccess miundombinu ya jijini.

Ngoja nianzie hapa kwa Julius Nyerere then nione ntaishia wapi.

Malengo ya safari: Kuosha macho

1. Kushangaa The Mfugale Bridge Tazara
2. Kushangaa The Kigamboni Bridge
3. Kushangaa The ongoing construction of Ubungo Interchange
4. Kushangaa ujenzi wa barabara nane, sijui inaanzia wapi na kuishia wapi. Hii inaambatana na kushangaa makazi ya watu yalivyovunjwa..
5. Sikumbuki kama nilishawahi kuuona mwendokasi.
6. Nitaishia pale High Spirit baadaye nilione jiji vzr

Naombeni mnipe agenda, naona bucket list ipo incomplete.

Ooops, niliambiwa kuna uber, eti na combat za wale jamaa siyo rangi zetu, nakumbuka nilishawahi kusoma hapa ujenzi wa reli ya mwendokasi unaendelea na pale nilipokuwa napendelea kukaa kule Ocean road nimeambiwa kuna ujenzi ulifanyika kuzuia mmomonyoko..
..Huko kote pia nitapita nikashuhudie.

Nategemea haya yote yaishe kabla ya saa 8 usiku ili kesho asb nianze safari ya kurudi mkoani kwetu.

Yes, najua nitaweza cz nilishawahi kusoma hapa kuwa foleni siku hizi imepungua sana.


Kijiwe kizuri cha massage ni wapi??... nahisi nahitaji kumalizia huko cz nishawahi pia kusoma hapa kuwa hii huduma inapatikana kwa uwingi hapa jijini.
.
.
Maisha yameenda kasi sana toka niondoke jijini 2011.

NB: Picha zitafuata.
 
Karibu mkuu, ni vyema ukaipangilia ratiba yako vizuri ili mambo yaende kama ilivyopangwa.
Kuhusu massage points zipo ila kwa maeneo yetu ya sinza zipo nyingi ukijumuisha na happy ending hivyo ukianda kitita cha kutosha itakuwa vyema zaidi.
 
Oooh asanteni sana wakuu.
"Happy ending".. hili neno ndo nalisoma hapa leo kwa mara ya kwanza.. naomba tafsiri yake nione kama inatally na akili yangu inavyowaza... akili ishachoka hii isije ikaiingiza chaka.
 
Oooh asanteni sana wakuu.
"Happy ending".. hili neno ndo nalisoma hapa leo kwa mara ya kwanza.. naomba tafsiri yake nione kama inatally na akili yangu inavyowaza... akili ishachoka hii isije ikaiingiza chaka.

Baada ya kupata huduma ya massage kuna huduma ya kula papuchi kwa huyo muhudumu
 
Ohooooo!!! Mambo ya mjini haya. Hivi hawa ndo wale huwa nasoma tunaonywa tusinyonye ziwa? Naweza kuamka asb nipo Kimamba
 
Umetuletea nini toka mkoa, kuku, mbuzi au Debe la viazi? Ili na Sisi tukuandalie mkate WA kuwapelekea mkoani
 
1. Nimeona The Mfugale Bridge. Halina tofauti na ile picha niliyoiona kwa mtandao raia wakijadili kuibadili jina from 'flyover' to a 'bridge'.
 
..Ooops nilisahau!! Terminal 3 nimeiona pia japo kwa pembeni.. hope kesho nitang'amua vzr
 
Naunga mkono hoja hii...
IMG-20190620-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom