Mbunge wa Jimbo la Kalenga yupo wapi?

KingKacha

Senior Member
Jun 15, 2016
118
119
Nauliza yule mbunge wa jumbo la Kalenga ambaye alichaguliwa baada ya baba yake kuaga dunia yupo wapi?

Bungeni hasikiki tena ni kijana kabisa
Jimboni haonekani tena ana nguvu kabisa

Ahadi alizoahidi hatekelezi

Madiwani hawana majibu kuhusu yeye.

Labda namuonea naomba taarifa zake
 
Ushasemaa alichaguliwa baada ya babake kufariki .alikuwa zake ulaya hajui shidaa zenuu atazitekeleza vp wakat hajazoea shidaa anaona kawaidaa ttuu
 
Alilia bungeni eti mambo kuhusu baba'ake yasijadiliwe.

Anywayz yule alibebwa mzigo wa siasa ni mkubwa sana kwake.

Fid Q aliwahi kusema u~super star ni sawa na mzigo wa mwiba ukiubeba ni lazima utautwaa.

Dogo siasa imemuelemea
 
Ni chama gani? Ukipata jibu la swali langu basi subiri mtamuona wakati wa kampeni com 2020
 
Nauliza yule mbunge wa jumbo la Kalenga ambaye alichaguliwa baada ya baba yake kuaga dunia yupo wapi?

Bungeni hasikiki tena ni kijana kabisa
Jimboni haonekani tena ana nguvu kabisa

Ahadi alizoahidi hatekelezi

Madiwani hawana majibu kuhusu yeye.

Labda namuonea naomba taarifa zake
Yupo msoga
 
Back
Top Bottom