Msaada wenye faida wa dharura

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,394
6,073
Habari guys najua humu kuna watu wenye uelewa ambao wanaweza kulipima hili swala Nina brother yangu anakaa German but now amekuja tz amefika last week na wageni watatu toka huko sasa kuna swala wamekutana nalo hapa tz hao wageni wanataka kabla hawajaondoka walishughulikie hivyo Wa nahitaji 20M ya mkopo ndani ya wiki moja I narudi watatoa riba 10 hivyo itakuwa 30M Mimi nitachukua 2M huyo aliyetoa mkopo atachukua 28 wiki moja tu kitu cha kuweka kama bondi nitatoa hati ya nyumba njoo pm tuyajenge zaidi
 
Hao wageni kama wameona hicho kitu kinalipa mpaka watoa 10m kwa wiki moja kwa nini wasitumie za kwao?
Kama umeona hicho kitu kinalipa jaribu benk kama unakopesheka unaweza kupata mkopo huo kwa haraka
 
Acha kutusumbua
Hiyo hati peleka Bank watakupa hyo million 10
Then kitachofata uctulee mrejesho .
Kila la heri
 
Hao wageni kama wameona hicho kitu kinalipa mpaka watoa 10m kwa wiki moja kwa nini wasitumie za kwao?
Kama umeona hicho kitu kinalipa jaribu benk kama unakopesheka unaweza kupata mkopo huo kwa haraka
Wangekuwa nazo hapa wangetumia hiyo kitu inaghalim 180M
 
Nyumba iko wapi. Wasiwasi wangu isijekuwa unataka kuuza nyumba kwa mtindo huo.

Pole Kama nimewaza tofauti
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom