Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
YERICKO NYERERE ASHINDA KESI Kesi ya uchochezi namba 270 ya 02/11/2015 (kipindi cha Uchaguzi mkuuu) iliyokuwa inamkabili Yericko Nyerere katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu IMEFUTWA rasmi leo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
TABOA wasitisha mgomo baada ya makubaliano na Waziri Mbarawa ya kurekebisha mapungufu yaliyofanya watake kugoma ndani ya siku 14. Wakati huohuo, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi...
0 Reactions
Replies
Views
Miaka yote tunaaminishwa Mbeya kuna misosi hatari. Vyakula kama chips unaweza kupewa hadi ndoo nzima kwa Buku. Watu wa Mbeya ni wakubwa kimiili. Wanawake ndio usiseme wakubwa kimiili na wababe...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
UTAFITI: Wataalamu wa Saikolojia kutoka Chuo Kikuu cha Penn State, Marekani wamegundua katika utafiti wao kuwa zaidi ya 90% ya watoto waliopitia maisha ya kunyanyaswa, kupigwa au kudhalilishwa...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Wakuu habari, Moja kwa moja niende kwenye hoja. Mimi nikiwa kama mmoja wa wamiliki wa vyombo vinavyobeba abiria hapa nilikuwa na maswali kadhaa najiuliza. Kwanza ieleweke sipo kwa lengo la...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Mnaopita barabara za Uhuru, Kawawa, Nyerere maeneo ya Machinga Complex jijini Dar badilisheni mwelekeo, barabara hizo zina msongamano mkubwa wa magari kutokana na Machinga kuchoma matairi kwenye...
0 Reactions
Replies
Views
Salaam, Naangalia Tv hapa naona wanauwasha tena mwenge. Hebu tuweke mjadala wa wazi ili kufikia maamuzi ya kama bado huu mwenge una tija kwa watanzania. Kila nikikumbuka gharama za kukimbiza...
1 Reactions
60 Replies
8K Views
Habari wadau, Mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaliza...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
  • Redirect
VURUGU DAR: Wafanyabiashara wamewasha moto katikati ya barabara eneo la Machinga Complex jijini Dar baada ya kukuta vibanda vyao vimevunjwa, zimamoto wawasili. #Mwananchileo
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
WATOTO WA SIKU HIZI HAWAJUI KABISA ENZI ZETU UNAWEZA KUCHAPWA KWA SABABU ZIFUATAZO: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa hukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa...
23 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inafikia uchumi wa kati wa viwanda na kuzalisha bidhaa mbalimbali, ili kuachana na mfumo wa kuagiza kila bidhaa kutoka nje ya nchi. Hayo yalisemwa na...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa muda mrefu nimezitafita YouTube na kila sehemu sijazipata mwenye nazo aje pm
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Chama cha Wamiliki wa Mabasi(TABOA) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Malori na Chama cha Wasafirishaji Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza mgomo wa usafirishaji abiria na mizigo nchi nzima kuanzia...
12 Reactions
220 Replies
28K Views
Eti wakuu, Yule mama yetu aliyesema ajira zingetoka mwezi wa tatu wakati hakuna kilichofanyika kesho atauambia umma nini tena. Siasa mpaka kwenye mambo yasio ya siasa.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Chama cha Mawakala na Makarani wa Usafiri wa Abiria jijini Dar es Salaam umesema hautambui mgomo wa wamiliki wa vyombo vya usafiri uliotangazwa na Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini TABOA...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Rais alikwisha lisemea hili la wamachinga kufanya biashara zao sehemu yoyote ile ya jiji Na Mh anapotoa order, obvious huwa ni sheria ni lazima itelezwe! Ni nani analiyekaidi agizo hili toka kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kuna tofauti gani kubwa kati ya vyama hivi vya siasa kati ya CCM na CHADEMA? Hapa tuwapime kwa maneno na matendo yao wanachokiamini na kukisimamia kwa misingi ya itikadi, falsafa na ajenda...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Nmekutana na bandiko la mwandishi aitwaye Luqman Maloto likikumbushia ahadi ya Mch. Anthony Lusekelo kuhusu mkwara wake alioutoa dhidi ya waandishi waliomwandika kuhusu skendo yake ya kulewa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…