Benki zetu zina tatizo gani? Vijana hawana ajira, mnashindwa kuajiri tellers na faida mnapata?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
9,237
Reaction score
19,866
Nashindwa kuelewa kabisa hizi benki zetu, ukiingi unakuta dirisha Moja au ukibahatisha mawili tu ndio yanafanya kazi Kati ya matano, na wateja kwenye foleni ni wengi.

Nashindwa kuelewa kinachowafanya kushindwa kuajiri nguvu kazi ni nini?

Ni ukosefu wa nguvu kazi mtaani? Hapana, vijana mtaani wapo wengi wenye utaalamu kibao, hawana kazi

Ni hawana hela za kuajiri? Hapana ukiangalia income statement zao wanapata mamia ya mabilioni, wengine karibia hata trilioni na kutoa magawio makubwa tu

Shida ni nini Hadi mtupotezee muda wetu?
 
Wanakuwa mtaani kufikisha sales target, bank hazina hela acha kuangalia overall ya bank nzima cheki mzunguko wa kila TAWI

Eniwei naombeni kazi pia wakuu wangu
 
Hao tellers ni wakawake kama 90% so najua unafahamu utendaji wa wanawake , wengi wana excuses na wazito sana. Mimi naona tatizo hiz ATM , kati ya mbili basi moja inafanya kazi .
 
Si kweli, wanawake are just or probably more efficient kuliko wanaume linapokuja swala la kazi zisizohitaji nguvu

Tafuta sababu nyingine
 
Mimi naenda bank hapa Ngamiani , naona tena kwa mwezi naweza kwenda zaidi ya mara 4. Wale tellers wa kike ni wavivu na wazito ....Hauwezi kukuta dirisha zote ni open ,
 
Nakubaliana na wewe kua kuna uvivu wa wafanyakazi wa benki ila haihusishi jinsia ya kike kua wote wavivu

Bank yq CRDB ndio imaongoza kwa uvivu
 
Ni ukosefu wa nguvu kazi mtaani? Hapana, vijana mtaani wapo wengi wenye utaalamu kibao, hawana kazi
Wanaringia huo wingi wa vijana kua wengi ambao hawana kazi

Ila unajua nini mkuu, niamini mimi ukiwa na hela hapo hupangi foleni wewe tena unapokelewa na ving'ola unaingizwa kwenye kile chumba fulani hivi yaan wenye mizigo ya hela ndio wanaingiaga mule sio wewe una million zako 10 panga foleni pale shida ndio inaanzia hapo mwenye hela humkuti amepanga foleni bank
 
Benki wote wana hela, wenye hela kidogo wanaenda kwa mawakala,halafu pia benki Kuna mambo mengi tofauti na kuweka na kutoa hela
 
Usilielie.wanapunguza utegemezi wa mabenki. Nenda kafungue uwakala. Au nenda kwa wakala ukatume au kuweka hela kwenye akaunti yako
 
Mfanya biashara siku zote anaangalia unafuu
Mawakala wote hao na simbanking zote hizi

Na machine za CDM zinaanza kuzagaa
 
Kwa kweli benki za kitanzania zina huu ussengge sana.
Unakuta madirisha yapo manne lakini kutoka January to December madirisha yanayofanya kazi ni mawili.
Na hayo mawili kuna mjinga mmoja muda wote ana kisirani kama lofa
Na mwingine kazi yake ni kuingia na kutoka
Nashindwa kuelewa kabisa hizi benki zetu, ukiingi unakuta dirisha Moja au ukibahatisha mawili tu ndio yanafanya kazi Kati ya matano, na wateja kwenye foleni ni wengi.

Nashindwa kuelewa kinachowafanya kushindwa kuajiri nguvu kazi ni nini?

Ni ukosefu wa nguvu kazi mtaani? Hapana, vijana mtaani wapo wengi wenye utaalamu kibao, hawana kazi

Ni hawana hela za kuajiri? Hapana ukiangalia income statement zao wanapata mamia ya mabilioni, wengine karibia hata trilioni na kutoa magawio makubwa tu

Shida ni nini Hadi mtupotezee muda wetu?
Benk
 
Back
Top Bottom