Kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi

Kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
478
Reaction score
975
Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi.

Hemu jichunguzeni kuna watu ambao umefanya nao tu mapenzi na kila kitu kinaanza kuharibika kiuchumi nukhsi na ukosefu wa bahati mpaka pesa ya kula inakua ngumu ujue tayar kuna mtu ameiiba nyota yako baada ya kufanya mapenzi na wewe.

Wapo ambao wakifanya mapenzi na wewe anaiiba kabisa nyota hio na kuhama toka kwako.

Ila kuna wengine wahawezi kuiiba kwa kuihamisha bali hukutumia kusafishia nyota yao hivyo anakua anataka kuonana na wewe kimapenzi mara kwa mara.

Tahadhari hasa kwa wale wanaopenda miseleleko ya kuhongwa na kununua mapenzi mtaishia pabaya.

Nimekutana na kesi nyingi anakwambia mimi sheikh mamabo yangu yalikua mazuri ila sasa hayaendinkabisa nakosa mpaka hela ya kula ukimchunguza unakuta amechotwa nyota.
 
Hizi ndizo hekaheka za mtu mweusi sasa. Ona wenzetu mambo wanayofanya!

buildyourmindsetdaily_c05d765f2e2048a299fdba1d142c04a8.jpg
 
Siku hizi kumekua na wimbi kubwa la kuibwa nyota kwa njia ya mapenzi.

Hemu jichunguzeni kuna watu ambao umefanya nao tu mapenzi na kila kitu kinaanza kuharibika kiuchumi nukhsi na ukosefu wa bahati mpaka pesa ya kula inakua ngumu ujue tayar kuna mtu ameiiba nyota yako baada ya kufanya mapenzi na wewe.

Wapo ambao wakifanya mapenzi na wewe anaiiba kabisa nyota hio na kuhama toka kwako.

Ila kuna wengine wahawezi kuiiba kwa kuihamisha bali hukutumia kusafishia nyota yao hivyo anakua anataka kuonana na wewe kimapenzi mara kwa mara.

Tahadhari hasa kwa wale wanaopenda miseleleko ya kuhongwa na kununua mapenzi mtaishia pabaya.

Nimekutana na kesi nyingi anakwambia mimi sheikh mamabo yangu yalikua mazuri ila sasa hayaendinkabisa nakosa mpaka hela ya kula ukimchunguza unakuta amechotwa nyota.
kinachorudisha nyuma ni akili, hakuna nyota inayoibwa
 
Mapenzi ya hovyo hovyo yanachafua nafsi, lakini pia yanaweza badilisha shina la mtu, badala ya kupandwa mahala pa kustawi unapandwa jangwani, unless uwe na energy kubwa sana kuliko unae lala nae ndio pona pona yako, ila nayo unaya wake ukiwa na energy kubwa zaidi una haribia wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom