Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi...
Ugonile,
Ni muda kidogo (kwa zaidi ya miaka miwili) sikuwa Tanzania, ila nilirudi mwaka huu mwezi wa pili nikakaa Dar kidogo maisha yakanishinda, nikaamua kutimkia mkoani. Kabla ya kutimkia nchi...
Inasemekana anaitwa Mohammad Hassan Noor, alienda kutafuta maisha Canada Toronto lakini Kwa bahati mbaya amefariki, muda sana ndugu wanatafutwa ila kimya.
Nimeshindwa kuelewa inasemekana mwili...
https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha watumishi kuzingatia kanuni na miongozo ya afya na usalama mahala pa kazi ili kupunguza ajali na madhara yanayoweza...
Habari , ukiangalia kwa umakini unaona kwamba kwa sasa tunataka note mpya na sarafu nyingine ambazo zitaendana na matakwa na mkulu kwenye ishu yake hasa ya kuwazuia wale wanaoficha hela Nyumbani...
kichwa cha habari chahusika, tukumbushane kuwa, hapa duniani bila Yesu Kristo na toba ya kweli hatutaweza kushinda, hapa tulipo na hapo ulipo na hapa tulipofika ni kwasababu tumeiacha kweli na...
Ni ujinga kujisifia kua katika circle ya watu wako wa karibu wewe ndo unajiona DON, hapo utaambulia mizinga na vimobu vya mara kwa mara.
Chakufanya Leo anza na amua kupunguza ukaribu na watu wa...
Wachumi nawauliza???
1.Hivi ikitokea leo miujizi BEI YA UMEME IKAWA UNIT 100 tunauziwa 10K kuna shido???Sababu ni ili kuvutia matumizi ya umeme kwa wingi na kupunguza uharibifu wa mazingira...
Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi...
Wakuu,
Kuna msemo unasema kinga ni bora kuliko tiba. Lakini kwa hali ya barabara ya Arusha–Simanjiro–Kiteto kupitia Oljoro No. 5, Komolo, Terrat na maeneo mengine, wakati mwingine mtu anabaki...
Leo ndio ile siku! Kipenga cha ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 kinapulizwa, lakini huku mitandaoni mambo yamegeuka. Badala ya bara la Afrika kusimama nyuma ya Afrika Kusini (Bafana Bafana)...
Jana nimesafiri na SGR ya kutoka Dar kuja Dodoma, tukagawiwa korosho kwenye behewa, baada ya kula punje kadhaa nikapata ladha ya ukakasi mwingi sana, nikamwambia jirani yangu mbona hizi korosho ni...
I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko
Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu...
Kila anapokufa mtu yeyote ndipo sifa zake uanza kuenea kwamba amefanya haya na yale, mara huyu mtu amekuwa nguzo katika suala fulani au amewezesha kitu fulani,
Hii ni tabia ya unafiki iliyojaa...
Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF.
Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.