Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,373
- 120,966
Wanabodi,
Katika kumbukumbu zangu, jana ndio kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Press Conference ya Idara ya Usalama wa Taifa (UWT-TISS) katika historia ya Tanzania.
Hii ina maana moja tuu, kuna ka ukweli fulani katika madai ya Dr. Slaa kuhusu the role of TISS kwenye uchaguzi as well as watendaji wa serikali, ndio maana kila aliyetajwa, anatumia nguvu nyingi sana kukanusha factual errors kwa kutumia alibi (inatamkwa alabay) kuwa hakuwepo mahali husika katika tarehe husika na muda husika, na sio kukanusa kuhusu theme na contents.
Kama hata TISS sasa inafanya press conference, ni muda muafaka wakaajiri msemaji wa TISS as well as Press Officer wao na kufafanua maroroso, madudu na mauza mauza yote ambayo TISS inahusika nayo, why wafafanue tuu hili la Dr.Slaa?!.
Ndio maana natoa angalizo, no matter what factual errors zilizopo kwenye madai ya Dr.Slaa, no matter watakanusha kwa nguvu kiasi gani, ujumbe umewafikia na sasa ufanyiwe kazi, ndio maana nikasema, sii bure, kuna jambo!.