Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

_ Mwenyekiti wa MECIRA asema matunda ya safari ya Moscow na St. Petersburg yataonekana kupitia biashara, teknolojia, elimu, uwekezaji, ajira na masoko mapya ya bidhaa za Tanzania MWENYEKITI wa...
0 Reactions
4 Replies
155 Views
Ukiweka ndio ni ule upande wake yaani yeye. Ukiweka hapana ni upande wa kivuli na automatically unakuwa umechagua ndiyo 😂 michezo imeanza kitambo na hichoo. Kwahiyo wapinzani hawakuepo kabisa...
7 Reactions
26 Replies
413 Views
Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) pamoja na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) vimeeleza kuwa wanachama wake wanaingia hasara ya mabilioni ya kutokana na ucheleweshwaji...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Kama unahangaika kupost video/picha katika mtandao wa Instagram na ndugu yake Facebook usije ukatupa simu yako ukadhani imekuwa kimeo. Watumiaji wa mitandao hiyo katika maeneo mbalimbali...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
Ukijaribu kuangalia miaka 25 iliyopita kulikuwa na msukumo mkubwa kuhusu globalization, wenzetu walijipanga kufanya dunia kuwa kijiji! Kipindi hicho pengine ungeweza kufikiri labda ni utani dunia...
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Mzuka wana jamvi . Miaka ya nyuma wazazi wengi walikuwa wanalalamika watoto wao kupotea na kuanza matendo ya kihuni wanapoanza uvutaji wa sigara bwege (Bangi) . Sasa hivi umeingia ulevi mpya wa...
14 Reactions
79 Replies
1K Views
  • Redirect
Wanafunzi 17 na mhitimu mmoja kutoka vyuo mbalimbali Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kughushi nyaraka, kutoa taarifa za uongo na kujipatia mikopo...
1 Reactions
– Replies
– Views
Mfanyabiashara maarufu mkoani Pwani, Yusufu Mfinanga, amesema alianza maisha yake ya ujasiriamali baada ya kuacha kazi ya kuajiriwa katika kiwanda cha TPC kilichopo mkoani Kilimanjaro na kuanza...
4 Reactions
27 Replies
450 Views
Kila mtu anayo haki ya kuamini achokiamini , na hata asipo amini kabisa mambo ya Mungu ni haki ya mtu.
1 Reactions
59 Replies
683 Views
Wanawake wa kichaga ni assets kataa kubali. #hakuna mchanga fala.
9 Reactions
167 Replies
2K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza zoezi la ufungaji wa pampu mpya za kuzalisha maji katika Mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu kwa lengo la kuongeza kiwango...
0 Reactions
3 Replies
147 Views
Napendekeza kuanzishwa kwa app ya 'TRA EFD machine' itakayokuwa installed kwenye smartphone za wafanyabiashara ambapo itatumika kama mbadala wa EFD machine zilizozoeleka. Kwa sasa mashine moja ya...
21 Reactions
69 Replies
10K Views
Kama ni tetesi au kweli yote sawa. Ila tunazungumza kwa wote. Dini zipo kwa ajili ya maskini sio kwa matajiri ndiyo maana unaona tajiri hata akiwa na dhambi huwezi kusikia kakemewa zaidi ya...
4 Reactions
19 Replies
486 Views
Watu wengi huamini katika uchawi, yawezekana upo Kweli, ila mimi sijawahi kuuona. Je, wajua kwanini hauendelei? Haujarogwa! Haujaibiwa nyota, Hauishi jinsi Mungu alivyo kuumba. Unaishi dhumuni...
9 Reactions
7 Replies
207 Views
  • Redirect
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha...
2 Reactions
– Replies
– Views
Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar amesema Serikali inapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye thamani ya dau la kamari (gaming) linalochezwa kupitia michezo ya...
2 Reactions
14 Replies
359 Views
Nimejaribu kupitia mtaala huu mpya wa elimu ya msingi Hadi kidato Cha nne sijaona suluhisho la mtaala huu kuwaandaa watoto wetu kushindana na nchi zingine au watoto kujitegemea. Mfano historia ya...
4 Reactions
11 Replies
306 Views
Kwema wakuu? Ninahitaji kupata passport ya kusafiria ila jina lililoko kwenye nida limekosewa herufi moja tu (badala ya kuishia na herufi “ni” jina la mwisho limeishia na “n”). Siko na...
2 Reactions
3 Replies
155 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza ujenzi wa tanki la kuhifadhi maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Msumi, Wilaya ya Ubungo, kwa lengo...
1 Reactions
5 Replies
129 Views
Kuna pepo na kuna moto Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah) Sifa Kuu za Peponi: Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15). Makazi bora...
6 Reactions
29 Replies
788 Views
Back
Top Bottom