Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,431
- 4,439
Wachumi nawauliza???
1.Hivi ikitokea leo miujizi BEI YA UMEME IKAWA UNIT 100 tunauziwa 10K kuna shido???Sababu ni ili kuvutia matumizi ya umeme kwa wingi na kupunguza uharibifu wa mazingira pamoja na unafuu wa maisha.
2.Ushuru wa vibajaji vya gesi na umeme ukwa chini kiasi kwamba wafanyabiashara wakahamia kwenye BAJAJI ZA GESI NA UMEME.Shido hapa ni nini kiuchumi nyie wasomi???
3.Ikatokea tena miujiza USHURU WA ELECTRIC CARS za mwaka wa mbele ushuru ukawa ZEROOO🤗.Hapo napo shido ni ipi nyie wasomi???Kwani mimi KICHOGO nikiendesha mchina wa UMEME kuna SHIDO GANI LABDA.
4.Kama dangote anamagari ya mizigo yanayotumua gesi ,Kama nchi yenye hifadhi kubwa ya gesi kwanini hatuoni hiyo fursa na tukahami huko ili hata MUIRANI NA MABEBERU wakiendelea kutifuana huko kwenye mfereji wa HORMUZ sisi tunakuwa tunakula bata kma tupo BRUNEI.
5.NA PIA KWANI KUNA SHIDO GANI NYIE WACHUMI USHURU WA SOLA NA MAKOROKORO YAKE UKAWA ZERO ILI MIMI RAIA NIISHI KAMA NIPO PEPONI.