Vijana waliobahatika kupata kazi miaka 5 ya hivi karibuni.
Wamekuwa na udhaifu mmoja naona hauongelewi ila wakiendelea hivi kutakuwa na shida mahali.
Kwanza wamekuwa wakipenda kujipost...
Wanabodi,
Japo hii hoja itaonekana ni ya ajabu, lakini amini usiamini, inakuza sana utalii!, maana watalii wanataka kuenjoy, moja ya sterehe kubwa duniani, ni starehe hii.
Nimeangalia matokeo ya...
Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi.
Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo.
Kuna jamaa yule yeriko...
Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI .
Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot...
Mimi ni graduate katika moja ya chuo maarufu hapa Tanzania mwaka huu, Nina miaka 24, nimesomea bachelor of Accounting and Finance
Kutokana na changamoto kadhaa ya ugumu wa ajira na maisha...
Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini.
Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia...
Tangu alipoamua kuzungumza wazi kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, siasa na utawala nchini, Humphrey Polepole amekuwa mmoja wa viongozi waliozua mjadala mkubwa katika jamii.
Wapo waliomuunga...
Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi
Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake
Aliwahi kunitamkia...
Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana...
Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto...
Baada ya kutoa kiasi pesa na kuakikishiwa nafasi na mkubwa fulani toka huko Dodoma mbaka asa hivi ni jau, nasikia wengine wanafanya vipimo huko.
Nimechanganyikiwa pesa nilihifadhi kwenye kibubu...
Kwa namna ambavyo hii serikali imekuwa ya kidhalimu hakuna mtu mwenye roho ya ubinadamu anaweza kuitetea,na hakuna mwenye roho ya utu anaweza kukubali kunyamaza kimya.
Wasomi wamekuwa washenzi...
Moja ya kosa kubwa liliopo Tanzania kwa WATUMISHI WA UMMA ni kuwaita majina ambayo hawaifai na hawana sifa za kielimu watu wa OVYO KABISA.
Utasikia Afisa usalama, afisa ushirika,afisa kadeti...
Kama kuna mtu au watu waliopo karibu na Diva The Boss, ningeshauri wawe karibu naye zaidi katika kipindi hiki na wampatie usikivu, ushauri na msaada wa kihisia.
Kutokana na baadhi ya viashiria...
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana)
Muuliza Swali Mzungu: "Amid sanctions, you are wanting to do and increase business with Russia. How are you going to circumvent or bypass the...
Hivi aliyetuloga ni nani????!!!!
Mtu anaakili kweli, mtu mzima kabisa anajua kabisa life limetyt mithili ya skin tyt na bado anapitisha michango ya kipuuzi.
Nani aliyetuloga waTz kuwa fantacies...
Kila ukikutana na Watanzania wasioelewa mambo wakiona kichaa muokota makopo unasikia kwamba ni afisa usalama!
Ifike hatua mbadili mtazamo, Dunia ya sasa na teknolojia tuliyonayo si mnadhani...
_
Mwenyekiti wa MECIRA asema matunda ya safari ya Moscow na St. Petersburg yataonekana kupitia biashara, teknolojia, elimu, uwekezaji, ajira na masoko mapya ya bidhaa za Tanzania
MWENYEKITI wa...
Ukiweka ndio ni ule upande wake yaani yeye.
Ukiweka hapana ni upande wa kivuli na automatically unakuwa umechagua ndiyo 😂
michezo imeanza kitambo na hichoo.
Kwahiyo wapinzani hawakuepo kabisa...
Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) pamoja na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) vimeeleza kuwa wanachama wake wanaingia hasara ya mabilioni ya kutokana na ucheleweshwaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.