Tupoze moyo baada ya kutukanwa sana hapa.Viwango vipya mishahara serikalini 2022/2023
Filed in Articles by Ajira on May 14, 2022
New Government Salary Scales for Approved viwango Vipya mishahara...
Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao...
Kichwa cha Habari
Umaskini Unakuvua Utu, Unazeeka Bila Hela Unakuwa Kituko.
Wakuu, acheni kujifanya na
mioyo ya nyama na kuanza kulialia hapa jukwaani. Ngojeni niwapige msumari wa roho bila...
Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO...
Kwa namna ambavyo teknolojia inavyokuwa Watu wengi siku hizi hawatumii tena vocha za kukwangua lakini kuna wachache ambao bado watumia vocha hizo ili kuweza kuongeza salio na kununua vifurushi...
Haha hii kitu ni real Mzee alikuja kututembelea, akakaa siku kadhaa akaondoka akapita kwa sister alale then kesho yake asafiri. Sasa siku anaondoka mwanangu alilia sana hadi usiku nguvu zinamuisha...
Chama chochote kiwe cha Siasa au kikundi katika Jamii kinakuwa na Katiba na miongozo yake, na iwapo unahitaji kuwa mwanachama wake inabidi ufuate masharti, taratibu na miongozo yake, na kinyume...
Ni baada ya usingizi kukata nikabadili mkao wa kulala kwa kusogeza kichwa na shingo juu ya mto.
Baada ya kupitiwa na usingizi tena ndani ya dakika kadhaa.
Ghafla nikaona kunamwanga amepitisha...
Sijui kwanini Malawi inaelekeza matumaini yake kwa hao Hususani wa Russia...
Mara ohh sijui Malawi haichaguliwi maadui wala marafiki... Ni sawa lakini maslahi ya Taifa yapo at stake... Mchina...
Wakuu naombeni mnifingue macho pengine Kuna kitu ntakua sikijui mpaka leo au ntakua nimekilock bila Mimi kujua.
Nikifungua page yoyote internet inakataa kwamba Sina Salio lakini nikiangalia Salio...
Jamaa ni hao hao tu
Lugha ndo hiyo hiyo
Majina ni hayo hayo
Uchapakazi ndo huo huo
Ukali ni ule ule
Hii inafanya hata wameru na wamachame kushindwa kutofautisha accent zao haswa kwa wazee...
DAWASA, sielewi utendaji wao. Sisi wakazi wa Ukonga karibu na Aviation House, ni mwezi sasa maji hayatoki. Kuna tatizo la kutoboka kwa bomba kubwa Mlima Ukonga, lakini licha ya DAWASA Kinyerezi...
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
Wakati tukiangalia ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho kama pande mbili za sarafu moja, mfanano mkuu kati ya silver cord (kamba ya fedha) na umbilical cord (kamba ya kitovu) unadhihirika...
Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala.
Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu.
Hawa ni kutoka kule na...
Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
Kumekuwa na malalamiko mengi sana katika jamii juu ya mambo Kadha wa Kadha:
1;kupungua Kwa uzalendo
2;Mmomonyoko wa maadili ambao hasa hasa unaonekana Kwa kuwa na talaka nyingi,ongezeko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.