Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Kuna huu wizi ambao unafanywa na Mtandao wa VODCA kuhusu Kupombeka bundle la Internet pindi tu bundle lako linapokuwa limeisha. Wao wanachofanya ni kukuunga kwa lazima hata kama hautaki wao...
1 Reactions
4 Replies
59 Views
Wakuu salaam Nimekuja kwenu tuweze kujadili hili swala. Kwa miaka mingi Dunia imekua ikiendeshwa na Sheria ya supply and demand (Yaani uwingi wa kitu na uhitaji wa kitu). Leo nakuja kwenu...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Napata maono kabisa 2030 hatuta taka kuachia ngaz KITI hiki kitang'ang'aniwa tuendelee kumilik upya,save huu Uzi.
10 Reactions
72 Replies
1K Views
1. PONGEZI. Napenda kukupongeza Kwa kuwa kioo Cha jamii. (Wazee,vijana na watoto pia) 2. USHAURI. Wasihi vijana/watoto wajikite zaidi "kuzingatia masomo" kupitia sm badala ya Yale mambo yako (ya...
2 Reactions
17 Replies
192 Views
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa...
5 Reactions
14 Replies
88 Views
Magari ya Wagonjwa yawe tayari muda wote. Tulishanunua magari, yawe na mafuta. Kila wakati yawe na mafuta. Tusichangishe wagonjwa kuweka mafuta kwenye gari ya Serikali kubeba mgonjwa ambaye yuko...
1 Reactions
3 Replies
29 Views
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Hakika mwili wa mwanamke unaweza kua wa kuvutia sana January na kufika December ukawa unachukiza kutokana na kunenepa kwa maeneo kadha mimi nilidhani ni tumbo pekee linavuruga muonekano ila...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri...
1 Reactions
4 Replies
48 Views
Ndani ya mwezi huu huu, muwe mmeshatangaza kupata mkandarasi wa kuanza kujenga hizi kilomita 11 za awali ambazo zitaziba hili pengo kuanzia hapa mpaka kwenye lami na kupita kidogo mji wa...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Heshima yenu wakubwa kwa wadogo. Nimekuwa mdau wa ku view threads humu bila ku login. Hili ni chapisho langu la kwanza tangu nijiunge humu kitambo nikiwa O-level, na kwa sasa bado sijafikisha...
2 Reactions
6 Replies
69 Views
Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake. Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania Stanley Kafu (wa pili kulia) wakipeana mikono na Diwani wa Kata ya Kawe Mheshimiwa Fabian Malima (katikati) baada ya kukabidhi...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...! 1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂 2...
13 Reactions
71 Replies
762 Views
Hellow wa JF. Naona kuna taarifa nyingi zinasamba za kutunza chakula ili kujikinga na njaa wakati wa Mvua za El Niño. Naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni...
11 Reactions
73 Replies
1K Views
Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
5 Reactions
15 Replies
99 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…