Waziri Mkuu Atoa Wito: Tahadhari Mafuriko

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
731
Reaction score
659
Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.

📍Ilongero-Singida
🗓️Septemba 06, 2026

——————-

Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Wilaya ya Singida, mkoani Singida, katika ziara yake ya kikazi ya kusikiliza kero za wananchi na kusimamia utekelezaji wa miradi ya mae
ndeleo.
 
nampongenza mweshimiwa kukumbushana ni jambo jema kwa serikali inayojali utu na wajibikaji kwa raia wake
 
Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.

📍Ilongero-Singida
🗓️Septemba 06, 2026

——————-

Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Wilaya ya Singida, mkoani Singida, katika ziara yake ya kikazi ya kusikiliza kero za wananchi na kusimamia utekelezaji wa miradi ya mae
View attachment 3664679ndeleo.
Msiogope mama anaupiga mwingi sana, hayo mafuriko cha mtoto kwa serikali yake.
Atawalinda wapendwa wake kwa wivu mkubwa.
 
Back
Top Bottom