Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Bajeti imesomwa ila sijasikia mambo mengi mfano:- -Kuhusu vifaa vya ujenzi -gharama za mawasiliano -watumishi na mahitaji yao eg.kima cha chini -upatikanaji wa maji na huduma za afya hasa vijijini...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu wapendwa tupo katika wakati mgumu kimaisha japo nasema hivo kwa walio wengi wako hivo inakuaje linapokuw alimetokea tatizo tunawahi kulaum na kuja juu kwa bila kutafakari mfano. Timu...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Mh Raisi hongera kwa majukumu ya siku hadi siku Ninaitambua dhamira yako njema kwa watanzania wakipato cha chini kupitia "elimu bure" Kutokana na uwezo/bajeti ndogo kwa wanafunzi wa elimu yajuu...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Katika Pitapita Zangu Mtaani Nimemkuta Jamaa Anafurahia Ndugu Yake Kuteseka Mtaani Kisa Eti Tu Ndugu Yao Yupo Katika Kundi Fulani La Imani Madhehebu Tofauti.Anae Mchukia Tajiri Anaechukiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Je kauli ipi ilikuacha mdomo wazi mpaka Leo kutoka kwa viongozi wetu: 1: kuleni nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe. (Mramba) 2. Foleni dar ni ishara ya maendeleo (jk) 3. Acheni wivu wa kike...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenye jibu tafadhali..
0 Reactions
Replies
Views
Niliwahi kuandika kuhusu MAFURUKU" Na Leo naandika Kuhusu SENGERETI Najua jibu rahisi itakuwa ni makosa madogo madogo ya kiuandishi... Sawa basi tupeni maana ya hili Neno SENGERETI maana ni Neno...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mkuu alituahidi hatotuangusha.mbona mimi naona tumeshaanguka tena tumeangukia pua na pumzi zinaenda kukata au ni ule msemo wa wahenga kwamba baada ya dhiki...
0 Reactions
Replies
Views
Poleni na MAJUKUMU Ndugu zangu bajeti ya Leo binafsi nimeona ina dalili njema kwa sehemu hasa ikitekelezwa. Ingawa bado kama nchi tunakazi kubwa ya kubuni vyanzo vipya vya mapato tena makubwa...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
  • Redirect
Maumivu tena hakuna nyongeza ya mshahara Kwa watumishi Wa uma kulingana na bajeti iliyosomwa Leo. Mwaka Jana fedha zilizotengwa Kwa mishahara ni sawa na kiasi kilichotengwa mwaka huu=tilioni 7.3.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Aman iwe nanyi wapendwa Kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo naomba uhusike nacho Kwanini marais wetu wamekuwa ni wakwepaji wakupwa juu ya adhabu za kunyongwa kwa waharifu wa mauaji...
0 Reactions
Replies
Views
Itifaki izingatiwe. Kwa wale wenzangu na mie tunaotumia usafiri wa daladala,ni kero gani mnazokumbana nazo.? Binafsi huwa nachoshwa sana na abiria wanaopiga simu kwa sauti huku wakieleza matatizo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Redirect
Wanajukwaa hongereni kwa shughuli za mchana kutwa Lengo la uzi huu nikutaka kuonesha mshangao wangu juu ya road license kuhamishiwa kwenye mafuta Naomba wajuzi mniambie je,hapo mwananchi wa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadau Nimekuta Mwisho Inamalizikia Kusomwa Vipi Watumishi Kuna Walipotajwa?
1 Reactions
Replies
Views
Wandugu kuna ile kampuni iliyoingia mkataba na Tanesco,linataka kurenew mkataba wa kinyonyaji tena na tanesco na kipindi cha nyuma kamati ya bunge wallitoa tamko kwamba hawana Sifa,sasa Ewura...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mm Nina experience ya miaka 5 kwenye Kampuni flani.Unafanya kazi ya mkataba.Nina degree ya biotechnology kutokana Sua.siwezi kusoma zaidi itabd niache kazi.kazi hii ni ya udhia mwingi ila mshahara...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Jaman nahitaji kwenda Sweden huko watu wanakoishi kwa furaha maana hapa Bongo unaweza kufa umesimama jinsi hali iliyokuwa mbaya..
2 Reactions
26 Replies
7K Views
habari zenu member! kuna swali naliomba kuuliza "wizara ya nishati na madin" hivi hapa tarime tunatumia umeme wa gridi ipi haiwezi kupita wiki umeme umetulia bila kukata karibu kila siku umeme...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Hii ni moja ya michango bora katika Bunge linaloendelea sasa. Hamna gari inayostahili kulipia road licence kama haipo barabarani, cha ajabu wamiliki wenye magari yasiyotembea kwa ubovu ama ajali...
17 Reactions
130 Replies
12K Views
Back
Top Bottom