Makanisa mengi hasa ya Kilokole ni Mradi wa Shetani

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,332
Reaction score
5,843
Shetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.

Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye makanisa mengi yanayochipukia sasa hivi.

Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.

Sio ajabu leo kukuta mchungaji au nabii anafundisha wanawake jinsi ya "kupelekewa moto"!Tena hadharani wakiwepo watoto.

Tumeona huko Kenya mauaji ya kutisha yakitokea.Hii si mara ya kwanza kusikia.
Hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wamelitukanisha jina la Kristo kwa kiasi kikubwa sana.Ndio lengo la shetani.

Ni bahati mbaya hata wafuasi hawawezi kuhoji chochote.Wamejitoa hata kufa kwa akili ya dini yao.

Hata hivyo ninasikitika pia zipo dini nyingine wasio wakristo wao pia ni kati ya project kubwa za ibilisi ili wasiujue mpango wa Mungu kwa ulimwengu.
 
Sema kuwapa wanawake nafasi ya uongozi ndani ya ndoa na kanisani ni jambo la ajabu sana.
Bora waongoze Serikalini ila akirudi nyumbani aweke mambo yake pembeni, ila nahisi ukiona mwanamke jeuri ujue mwanaume wake ni tatizo, sometimes makanisa haya hayasababishi haya mambo, ni mwanaume tu kukwepa majukumu.
 
Juzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
 
Mnajaza servers kwa kujadili midinidini hamjui dini ni uhaini mtupu tu..? Hapa Kila mmoja ataanza kutetea la kwake and mostly of religions we inherited from whites!.. I do wonder and asking myself when are we going to open our minds..??
Ni uhaini na upuuzi tu,ukiwaambia watu hiyo midini ni tamaduni za watu huko ndo kwanza hawasikii! There's no one God who has different laws!, Huku aruhusu uoe mke mmoja kule wanne!..
Kindly God knows how to solve problems but this one didn't know!.. you keep fire for siners while you made a devil to be a filter of your lovely people!.. hakuna stori ya kipuuzi kama hii vitu havina uhalisia kabisa! It's nonsense fungukeni akili,acheni kuudharirisha ulimwengu na utu wenu.. hizi zana si zenu Tena zilikuwa za mababu zenu,mmejaa ujinga na akili zenu zinatumai matumaini ambayo ktk uhalisia hayapo,life is real you can't heal anything by only saying wake up!!. Our environment can heal us but when we reach our limit for a given time that doesn't mean we can't do it next days!.

There's is no such kinds of Gods,aidha mnaumwa akili tu.
 
Juzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
Mkuu unakubali kupelekwa kijinga hivyo dah!
 
😀😀
 
yaani umenichekesha usiku huu
 
Mnatuchosha, kila mmoja wenu amekuwa akiongea lake na kumpinga mwingne ilihali mnatumia kitabu kimoja yaani biblia ama hata mkiwa dini tofaut basi mnatumia asili moja ya imani ya ibrahimu

Kwann msiungane tu then musolve mapungufu yenu ndipo muibuke mitaani kutuhubiria hizo injili zenu za bandia?

Kwanza mnauhakika huyo Mnemuita Mungu ni kweli anataka muwe hivyo mnavyotaka ninyi?

Mnachosha zaidi pale mnapoanza kutuhusisha hata sisi tusiofuata mifumo yenu kwa kututishoa moto sjui mavitu gani ya kijinga.

Dini zote ni uzushi mtupu
 
Juzi ndio nimejionea mambo ,mama mtoto wangu baada ya kuvutana sana akanipeleka kwa nabii niliyoyakuta huko sirudi tena.
1.Unachukua form unajaza unalipa kuanzia 10 mpaka M.Ndio unamuona huyo nabii
2.Ukifika anakusikiliza anakuandikia dozi .Mimi kwa kuwa nilikuwa dume la nyani lilikobuhu nilipewa dozi nzito ya maji+ udongo wa madhabau+ chumvi +mafuta jumla 59,000/= ukichanganya na 10 robo tatu ya laki ikabaki kwa nabii.
3.Aliponiacha hoi nabii mbele ya mama mtoto akaanza kuniuliza Sada ni nani? Ili kutowaudhi nikajibu alikuwa mpenzi wangu wa shule.Kiukweli sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa Sada tokea nimezaliwa.
4.Nikaambiwa huyo ndio chanzo aliniibia MANII.Ndio maana nabugia mipombe ,hela haikai na naumwa.
5.Natakiwa kufunga na kesho nihudhurie siku ya mwisho kufunguliwa vifungo kwani nina nyota pia ya uongozi ila imechukuliwa.
Wew ni mjinga ulitakiwa kumuaibisha huyo tapeli.

Hiv huwa mnaanza vip kulipia huduma ya maombizi makanisani?

Mnatofauti gani sasa na sie tunaokwenda kwa waganga wa kienyeji? Sema tofauti yetu sisi maombi yetu yanajibiwa lkn nyie maombi yenu hayajibiwi na pesa mnaliwa huku mkigeuzwa misukule ya kumtolea mchungaji sadaka kila jumapili.

Amkeni
 
Shetani amekuwa na project nyingi na zilizopangwa kwa werevu mkubwa.

Sitasema project alizokuwa nazo tangu enzi hizo.Lakini nitasema kwa kifupi sana kuhusu mpango wa shetani kunasa watu kwenye makanisa mengi yanayochipukia sasa hivi.

Mpango uliopo ni kuwapa roho na upako wa kushetani.Roho hizi huwapelekea kuamsha shauku ya kufanya ngono,kuondoa uvumilivu katika ndoa,kuamsha tamaa ya wanawake kutawala ili kutimiza upesi mkakati wa kwenda New World Order.

Sio ajabu leo kukuta mchungaji au nabii anafundisha wanawake jinsi ya "kupelekewa moto"!Tena hadharani wakiwepo watoto.

Tumeona huko Kenya mauaji ya kutisha yakitokea.Hii si mara ya kwanza kusikia.
Hawa wanaojiita viongozi wa kiroho wamelitukanisha jina la Kristo kwa kiasi kikubwa sana.Ndio lengo la shetani.

Ni bahati mbaya hata wafuasi hawawezi kuhoji chochote.Wamejitoa hata kufa kwa akili ya dini yao.

Hata hivyo ninasikitika pia zipo dini nyingine wasio wakristo wao pia ni kati ya project kubwa za ibilisi ili wasiujue mpango wa Mungu kwa ulimwengu.
Makanisa, masinagogi, matemple na misikiti vyote ni mpango wa shetani wa ugenini
 
Back
Top Bottom