Hivi TBS inakuaga wapi?

Hivi TBS inakuaga wapi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,541
Reaction score
17,539
mtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2.

hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu wanapigwa sana serikali inakua wapi? Tena walivyo wahuni wanakufanyia delivery wanakuletea Hadi nyumbani mzigo fake.
 
Kuuzwa laki mbili sio kigezo cha kuwa feki
 
Wakikosea watabadilishiwa majukumu na sio kufukuzwa ndio maana hawana wasi wasi wamelala tu.
 
Back
Top Bottom