Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Engosowashi, Kata ya Moshono jijini Arusha, Richard Meshaki Laizer, ametangaza kujiuzulu nafasi yake baada ya kusoma barua yake ya kujiuzulu mbele ya wananchi...
2 Reactions
18 Replies
424 Views
Hawa wanandugu huwa wanapitia mengi,tusiwalaumu kutokujenga wa kusomesha
0 Reactions
3 Replies
179 Views
Hata waandishi wa Ugiriki ya Kale ( Ancient Greece) wamewahi kuandika kuhusu watu wanaitwa Arcadians. Hawa Arcadians , Aristotle na Plutarch waliwaita " Proseleness" yaani " Those who lived before...
4 Reactions
16 Replies
344 Views
Bila kushtuka ila mkianza kufikia kuvunja tuna rudi yale yale ya wapi eneo langu lilipo ishia. Haya sio makusudi ila ndio washajipanga wao. kejeli na ziaka za wabunge wao washajua mikakati yao...
5 Reactions
112 Replies
2K Views
Hivi kwa nini kula chakula cha mchana kabla ya saa sita hupelekea tumbo kushikwa na kiungulia ?.
1 Reactions
10 Replies
142 Views
  • Redirect
Professor Mussa J Assad. CAG Mstaafu amesimulia kilichotokea na hatua alizochukua wakati anaondolewa katika nafasi ya CAG kinyume na katiba ilivyokuwa inaeleza.
0 Reactions
– Replies
– Views
Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
1 Reactions
31 Replies
398 Views
Mnaopeta na maji kila siku habari zenu?. Tatizo la maji jijini Mwanza bado hali ni tete.Yaan nina miezi miwili sioni tone nyumbani kwangu.Baada ya Waziri Kuja Mwanza nilijua tunaenda kumpeleka ila...
3 Reactions
30 Replies
354 Views
Kama wewe ni overthinker basi una akili sana… Kama wewe ni overthinker, huenda hujui kuwa una aina fulani ya akili ambayo watu wengi hawana… Watu wengi wanapofikiria, wanaona kitu kimoja tu...
19 Reactions
17 Replies
538 Views
Kuna kitu watu wengi wanakidharau mpaka siku wanapokikosa hasa vitu vya ndani Utakuta kijana alikuwa na gheto safi kabisa. Kitanda kipo, godoro lipo, sofa ipo, TV ipo, kabati lipo, vyombo vya...
7 Reactions
7 Replies
299 Views
Kuna Wamasai ambao bado wanatahiriwa bila ganzi mpaka nyakati hizi? Kama wapi hao hawawezi kutishika na vitisho vya Sheikh Mwaipopo vya kutahiri watu bila ganzi.
2 Reactions
4 Replies
103 Views
Anonymous (ad3e)
Kwa miaka mingi, wananchi wa maeneo ya Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, yanayopakana na Wilaya ya Nyamagana wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu mkubwa wa huduma ya maji safi na salama, huku mji...
0 Reactions
5 Replies
237 Views
Ndugu zangu JF mnaendeleaje, leo nikiwa nimetulia usiku wa kama huu nikawa nawaza yafuatayo..... Ebu ngoja tushuke nazo hizi. Leteni nondo kama huna cha kujibu lala tu na kesho ni siku. Kwa...
2 Reactions
2 Replies
125 Views
Kuna maneno hayajatahiriwa.. Haya ndio halisi.. Mengi tunayoongeleshana tumeyatia tohara, tumeyahariri, tumeyaremba na kuyatia nakshi mbalimbali kuleta ladha ama mvuto tuutakao kulingana na...
12 Reactions
115 Replies
7K Views
Msaada wenu wakuu kwa yeyote aliewahi kuugua vidonda vya tumbe na akapona atuambie alitumia dawa gani mana vinanisumbua balaa""please msaada wenu wakuu pia hata hujawahi kuugua vidonda vya tumbo...
6 Reactions
52 Replies
507 Views
Wananchi kutoka kata za Kisongo, Mateves na Musa wamegomea maelezo ya Mkuu wa Kituo cha Polisi Kisongo kufuatia malalamiko ya kuongezeka kwa vitendo vya uhalifu katika maeneo yao. Wananchi hao...
2 Reactions
1 Replies
176 Views
Tusaidiane wajuzi na wanahistoria kagera ndio ilikuww mkoa wa kwanza kuleta maambukizi ya ukimwi tanzania
2 Reactions
29 Replies
405 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi...
1 Reactions
4 Replies
153 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…