Mungu anahitaji sadaka ya damu??

Mungu anahitaji sadaka ya damu??

Kabla ndio, sasa hapana...

Hii ni kwa imani ya Wakristo, na Mungu wao Wakristo...
 
How na kale bado ipo?

Kwa mujibu wa Biblia, zamani za Uyahudi wanyama walifanywa kama sadaka ya damu kwa ajili ya ondoleo la dhambi, upatanisho na Mungu aliyewaumba...

Lakini baadaye alipokuja Yesu Kristo, akauawa na akamwaga damu ambayo ikawa mbadala wa damu za wanyama...

Ukisoma hizo kafara za damu hapo mwanzo, hawakuwa wakitoa sadaka aina yeyote ya mnyama bali kulikuwa na sifa za aina ya mnyama wa kutolewa kafara...
 
Basi heading ingosemeka hivi "je MUNGU bado anahitaji damu ya wanyama kama sadaka?
 
Bado majibu yatabakia kuwa vile vile kwa mujibu wa imani ya Wakristo, katika nyakati hizi hakuna kafara la damu ya mnyama tena...

Waebrania 10:3-12
 
Back
Top Bottom