Kipi kipimo cha kukua kwa uchumi kwenye jamii.?

Kipi kipimo cha kukua kwa uchumi kwenye jamii.?

hili ni swali pana chief na majibu yake yako intellectual sana

kwa kifupi na uelewa wangu mdogo nawza sema

Ajira
uzalishaji wa bidhaa
uwezo wa watu kumudu chakula nyumba afya elimu usafiri na mahitaji mengine kama ngono internet anasa kiujumla
level ya umaskini
kuongezeka kwa kipato baada ya kuondoa mfumuko wa bei
thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa hapa nchini
 
Kwaiyo hapa tz tutakuaje pato kama limekua?
 
Back
Top Bottom