Wimbi la uvamizi wa hifadhi za barabara (road reserve) jijini Dar es Salaam linazidi kushamiri, huku wafanyabiashara, mama lishe, na madereva wa bodaboda wakikiuka sheria kwa kufanya biashara na...
Mnaofanya Kazi katika ofisi za Uma na za private lazma mtakubaliana na mim kuwa Kuna watu huwa hawataki wajulikane kuwa yeye Ni kabila gan,mfano watu wa Kanda ya ziwa waliobahatika kusoma na...
"Haya mambo ya nchi hii ukiyajua unaweza kufa kwa presha ndo maana mimi nakonda kila siku, kwasababu unawaangalia unasema hawa ni banadamu wa kawaida au wamelogwa alafu unakuta kamtu kanakonyonywa...
Mkenya ambaye ni mwanamke amekataliwa kuingia cambodia, baada ya kunyanyapaliwa kutokana na kuwa asili yake ni Africa,
Maafisa uhamiaji wamesema hajatimiza vigezo vya kuingia nchini Cambodia...
Tunaunga mkono hoja ya Spikq wa Bunge ya kuwataka watendaji wote wa Serikali kuiga mfano wa Mh. Rais dkt Samia katika kubana matumizi ya Serikali.
Spika amesema naye ameunga mkono kwa kubadilisha...
Kamati ya Kudumu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), tarehe 23 Juni 2026, ilifanya ziara katika Hospitali Kuu ya Kanda ya Jeshi la Wananchi wa...
Na Dr.Zack✍️.
June 25,2026.
Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya na mpinzani mkubwa wa Rais Ruto,Mh Rigathi Gachagua ametoka hadharani jana na kupinga maandamano ya G-Z Kenya(25 UNIVERSARRY PROTEST)...
Wahanga wakubwa ni watumishi wa serikali za mitaa.
Local government zinaendeshwa ki locally sana.
Nimeona mtu ambaye mpaka sasa ana 20% tu za PEPMIS na hizo alizijaza mwaka jana ili apate mkopo...
Kwa wale mliofanikiwa kuongea na wazee wa Ki-zanzibar walioishi chini ya Utawala wa Sultan wanauzungumziaje huo utawala?
Nikiitazama Oman nahisi inawezekana tumelishwa matangopori sana kuhusu...
Niliwamiss sana,,,,
Dunia ya leo imewekeza nguvu kubwa kwenye utalii wa nje—kutembelea mikoa mipya, nchi ngeni, na fukwe za bahari. Hata hivyo, kasi ya maendeleo ya kiteknolojia na matumizi ya...
The 2026/2027 Budget proves that President Samia is serious about healthcare. With major investment in Universal Health Insurance (UHI), Tanzania is moving closer to a future where every citizen...
Mapema usiku wa tarehe 16/3/1996 viongozi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia pamoja na kiongozi wa AFDL Laulent kabila walisaini “Makubaliano ya mkataba wa Lemera”.
Mkataba huu ulikuwa...
Naomba kujua hvi taifa letu like limekuwa dhaifu kiasi ambacho tumeshindwa kutatua changamoto ya mtandao kwenye sekta muhimu kama uhamiaji?
Mfano: Ofisi ya uhamiaji morogoro inaweza kukaa wiki au...
Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza...
Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo?
Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona...
Huyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo.
Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini watu wengi wanatoa sadaka kwa miaka mingi lakini maisha yao bado yamekwama kwenye umaskini, hofu, na madeni?
Wengi wanaelewa sadaka ni kama biashara ya...
Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko
Iko hivi mfano...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema kuwa kuna makosa yaliyofanyika katika matumizi ya eneo la wazi la Biafra, Kinondoni, ambalo limeanza kutumika kwa shughuli tofauti...