KERO Uhamiaji na changamoto ya 'MTANDAO' kwa wanaoomba Pasipoti

KERO Uhamiaji na changamoto ya 'MTANDAO' kwa wanaoomba Pasipoti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba kujua hvi taifa letu like limekuwa dhaifu kiasi ambacho tumeshindwa kutatua changamoto ya mtandao kwenye sekta muhimu kama uhamiaji?

Mfano: Ofisi ya uhamiaji morogoro inaweza kukaa wiki au zaidi kwa mfululizo bila mtandao ..inaleta usumbufu na kero kwa watu wanahitaji huduma ya Haraka.
 
Back
Top Bottom