Nimetembea kidogo, nimeenda Mwenge, Sinza, Kijitonyama, makumbusho nilikua natafuta Frame ya laki 3 kwa Mwezi, nina project nilitaka niiweke hapo mtaji/ bei ya bidhaa nje ya Frame iwe million 6...
Vijana watanzania wana uwezo mkubwa wa ubunifu na hapa wamekuwekea mawazo bora 30 ya ubunifu yatakayoweza kuiokoa Tanzania wakati wa majanga ya kimataifa kama vile kushuka kwa uchumi, vita, n.k...
Leo sisalimii mtu, Feisal jana kajua kunilaza na maumivu ya moyo.
Well, kama title inavyojieleza, Nickson Kibabage kwanza kabisa, na hii ipo wazi, alikuja yanga kwa mkopo kwa kuomba yeye mwenyewe...
Mwakilishi wa PigaBet, Gideon Magana (kushoto), akimkabidhi gari aina ya Toyota IST mshindi wa kampeni ya Shinda Ndinga, Samwel Emmanuel (kulia), ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu...
Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa.
Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe.
Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada...
Kero yangu ni idadi kubwa ya bodaboda kutoka nje ya nchi hasa Warundi ambao wamekuwa wakijitambulisha kama ni Waha wa Kigoma wakati sio sisi tunaotoka Kigoma tukikutana nao tunajua kabisa kuwa...
Hari hii inayoendelea nchini ni matokeo ya kukosekana kwa weredi, kutofuata taratibu kanuni na sheria zinazotambulika...
Badala yake mmeendekeza jeuri, dharau, dhihaka, ubabe na kujiona wajuvi...
Kuna mambo yanazidi kuweka aibu na kutufanya kuwa channel ya vituko kwa wengine wanaotutazama.
Hivi ushaona mchungaji mara nyingi wa KKKT wana kora kama hiyo upande wa kushoto.
Huyu wa kulia...
Nimefiwa na dada yangu 25 Jun 2026
dada yangu alikuwa mfanyabiashara wa mbao buguruni Jina lake Oliva
kwa dhat nawashukuru wafanyabiashara wote wa mbao bugurun kwa upendo mmejitoa sana kufariji...
Tuwe wakweli ni mara ngapi tumeona watu wanakwepa kutoa taarifa muhimu polis kwa mfano unakuta mtu kafa bara barani unaangalia kushoto kama hujamuona vile,
Mara ngapi unakutana na bunduki...
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then...
Wakuu naombani majibu
Siri ya Chumba cha Maiti,
Hivi nyie "Team Osha na Kamua" yale maji na uchafu mnaoukamua mnapeleka wapi?
Acheni na roho mbaya, leo nataka tuvunje mwiko wa usiri na tuingie...
✍️Anaandika Askofu Bagonza
"Mmoja amesema, “Hakuna haja ya kuandamana, CCM itawapa katiba mpya”. Huo ni uongozi. Hiyo ni diplomasia. Hiyo ni hekima. Hata kama huwezi, unajenga matumaini ya...
Ndugu zangu, tumebadilika pakubwa sana kifikra, hapo nyuma kidogo vijana walikuwa busy na udaku, leo diamond kafanya nini? Ni lini atatoa wimbo, anadeti na nani? Simba na yanga wanacheza leo...
Hizo hadithi za vitabu vya Dini wengi tunavichukulia kama za uwongo kwa sababu ni zakufikirika. lakini jua kwamba kunatofauti kati ya uwongo na kufikirika. Hadithi hizo ni za kufikirika lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.