G
guest-1788672427
Guest
.
Huo ni utani tu kaka yanguKwa hiyo kwako mume ndio mbadala wa kazi?
OkokWhen one door closes, another opens,
A setback or loss often leads to new, unexpected opportunities.
Ukihitaji Mzee wa kufaidi naye maisha, nipo nimejaa tele. Usisubiri mpaka mkataba usitishwe. Njoo Lushoto ule maisha.Ikitokea Bank ya Dunia ikasitisha kutoa misaada sijui mikopo nchini
Sisi tunaofanya kazi za miradi ya W/B tutaenda wapi ? nahis kuchanganyikiwa
Bora nitafute mume niolewe
Sanaaa yaaniAisee mipongo mingi itavurugika, aisee.
Kujikwamua kimaishaNdoa au kujikwamua kimaisha
Haga ipo?
Haga sio ishu tena haga zinafuliwa usiku asubuhi zinavaliwaHaga ipo?
Kwa wanawake ndoa ni biasharaAsilimia nyingi wadada alarm ya maisha ikipiga tu ndio mnaanza kutafuta ndoa daah
Sio afrikaWhen one door closes, another opens,
A setback or loss often leads to new, unexpected opportunities.
Ile hainogi bn, mtaani watamsifia lakini mimi chumbani sifaidiki chochoteHaga sio ishu tena haga zinafuliwa usiku asubuhi zinavaliwa