Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wahusika wa mamlaka husika na wadau wa usafiri, Ninaandika kuwasilisha malalamiko kuhusu hali inayozidi kujitokeza katika maeneo mbalimbali ya kushushia na kupandishia abiria wa daladala...
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Makanisa ya kiprotestanti, pentekoste maarufu walokole mengi yamejengwa katikati ya makazi ya watu. Siku za ijumaa kuanzia jioni wanapiga mziki mkubwa sanaa, wanaongea kwa vinasa na vikuza...
8 Reactions
71 Replies
841 Views
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje ya nchi (MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE) na...
1 Reactions
8 Replies
142 Views
Kuna bomba la maji limepasuka Arusha Kata ya Oloiren Mwanama Reli Kibaoni. Taarifa ilitolewa tangu mwezi mei kwa simu lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa. Maji yanavuja na...
1 Reactions
3 Replies
147 Views
KUSIMAMA KWA HUDUMA ZA TRENI KUTOKANA NA HITILAFU KATΙΚΑ MFUMO WA GRIDI YA UMEME YA TAIFA Dar es Salaam, Juni 27, 2026. Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kwa abiria wote kwa usumbufu...
8 Reactions
31 Replies
825 Views
Google translate kawa mkombozi kwa wanaoijua na kuitumia utanikuta naandika kifaransa balaa kumbe wala sikijui au mtu anaandika kiingereza kumbe wala hakiju anaandika text kiswahili anatranslate...
5 Reactions
14 Replies
212 Views
Huko mitandaoni Kuna ligi kubwa sana baina ya watu wa majiji 4 yaani Dodoma vs Mwanza vs Arusha vs Mbeya ingeleta maana ikiwa Serikali ingeruhusu mamlaka za Serikali za Mitaa kuwa Huru kujiamulia...
3 Reactions
25 Replies
520 Views
Wakuu habari za majukumu Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye...
1 Reactions
13 Replies
254 Views
Habari Biashara ya mtandaoni imekuwa kuwa sana sasa hivi ambapo wateja na wauzaji wanatafutana mtandaoni. Changamoto kubwa sana ni auminifu kati ya mnunuzi na muuzaji, Je kwanini kampuni za simu...
1 Reactions
0 Replies
76 Views
Wakuu kwema? Naomba kujua jina msangawale ni kabila gani na nini maana yake. With much thanks in advance
3 Reactions
9 Replies
795 Views
"Mimi nina watoto kumi na katika kumi kuna Polisi mmoja Mahita Omary Mahita. Ukienda Arusha kama utapata nafasi nenda uliza namtaka Mahita yupo wapi, watakuambia Mahita Omary Mahita ni mkono wa...
6 Reactions
23 Replies
560 Views
Kuna jambo linataka kufanyika likionekana kuwa sio mtandao ila litakanushwa ni kwa umeme nawala sio wahusika. Mliopo karibu na wana CHADEMA wote mnatakiwa kuzibitiwa au kupotezwa kabla jumapili.
4 Reactions
12 Replies
386 Views
Habari Wakuu. Naomba kuuliza ivi mtu ukiitwa na mtu usiyemfaham anakuambia ametokea ofisi ya utumishi na akaanza kukuuliza maswali ya historia ulipozaliwa, uliposoma na kufanya kazi, unaonaje...
5 Reactions
111 Replies
14K Views
  • Redirect
Sema uko wapi Mpaka sasa tabora,mwanza, dar es salaam Confirmed
1 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu ==== Nimeona tangazo la Tanesco kuwa wateja tunatumia grid ya taifa hatuna umeme hii inamaanisha kama nchi tupo gizani a total blackout! kwa takwimu ni mikoa 3 ambayo haijaunganishwa na...
7 Reactions
135 Replies
5K Views
Polisi Kata ya Uyole Jijini Mbeya, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Charles Buyuya amewataka Maafisa Usafirishaji wa Stendi ya Makasini Uyole Junction kuwa mabalozi wa Amani katika maeneo yao. Wito huo...
2 Reactions
3 Replies
163 Views
TANESCO Tunaomba radhi wateja wetu Imetokea hitilafu gridi ya taifa na kusababisha umeme eneo lote la Dar es Salaam na baadhi ya mikoa kukosa umeme. Tatizo hili linashughulikiwa na umeme utarudi...
22 Reactions
306 Replies
42K Views
Ofisa mmoja wa benki inayoanzia na herufi A avunjwa mkono wa kulia na mtumishi wa kada ya ualimu.Tukio hilo limetokea jana asubuhi wilayani Kilindi ndani ya ofisi ya benki hiyo jina linahifadhiwa...
5 Reactions
46 Replies
691 Views
Habari za muda huu wadau, bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye hoja, kuna shamba la familia yangu ambalo lina madini, yaliibuka tu gafla na watu wakaanza uchimbaji baada ya muda kama mwezi...
0 Reactions
6 Replies
214 Views
Back
Top Bottom