Niliona Humu uzi maalum wa BRELA sijui kama bado UPO, hata hivyo Brela Mfumo wenu una shida ya availability na Utendaji.
Tunajaribu kupiga simu zenu za Kituo cha miito Hampokei.
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya...
Watanzania kwa historia na kipindi cha zamani, wameamini kuwa njia pekee ya kuifanya serikali iwajibike ni kuonyesha hasira zao hadharani. Lakini je, kwa kipindi hiki, kila maandamano huongeza...
Tafadhali ninae rafiki anauliza ni kampuni gani anaweza akapata mkopo wa milioni 5 marejesho miezi 36 dhamana kiwanja.
Yeye sio mtumishi amejiajiri. Mwenye maoni karibu
Cha kushangaza hata hizo heshima anazopewa kila kona nazo zinafichwa kwenye mfumo wa serikali.
Kwa sasa si rahisi kujua hata CV,umiliki,jina la muhusika labda kama unatuma pesa kwenye simu.
Na...
Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili...
Bungeni kuna vituko sana yani ni vilaza wa kambare matopeni.
Unaposema Gen Z ni kuingamiza hata uwelewi kuna mtoto wa raisi wako na mwanao.
Ulijua ni chama kipya.
Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM.
Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria...
Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania.
Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza.
Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo...
AI 6 Zenye Nguvu Zaidi Unazoweza Kutumia Bure Mwaka 2026.
---
AI inaweza kuongeza tija kwa kiasi kikubwa, lakini baadhi ya zana maarufu zinahitaji usajili wa kila mwezi. Ikiwa hutaki kulipia, hizi...
Wakuu Juni ndo hiyo inakaribia kukata tayari tumemaliza miezi sita ya mwanzo! Muda hautusubiri na umri unasonga. Huu ndio wakati muafaka wa kusimama na kujitathmini.
Jikague Haraka:
Zile ahadi...
Tuna report shida ya maji kila siku ila ndo hivo suluhu hamna takribani miezi 6 sasa
Habari, mimi ni mkazi wa Goba, Mtaa wa River View, nahudumiwa na DAWASA Makongo lakini mtaani kwetu imekuwa...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter *******, amesema kuwa ni wazazi wachache wenye uwezo wa kumudu gharama za matibabu ya watoto wanaohitaji upasuaji wa moyo...
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua...
Habari wana bodi.
Kutokana na Anachoendelea kukifanya Trump huko USA, Nimepata tafakuri ya hapa kwetu Tz.
Tuko na baadhi ya taasisi zilizo shindwa kabisa wazi wazi kutekeleza matakwa ya...
DFPEB1IXRZ Imethibitishwa. Tsh50000.00 imetumwa kwa J4U M-PESA tarehe 25/6/26 saa 4:38 PM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh27,824.24.
Nilikuwa naunga bundle la wiki 2 la 5000 ila cha ajabu nimezidisha...
AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza.
Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally...
Shule tajwa hapo juu ipo Wilaya ya Ubungo, DSM kuna tatizo kubwa.
Huenda sababu ya uhaba wa walimu au uzembe wa mkuu wa shule au mwalimu wa somo husika.
Toka mwezi Januari 2026 hadi wanafunga...
They gave you religion to make you wait. Wait for heaven. Wait for Jesus. Wait for a paradise that never arrives. While you wait, they extract. They drill. They mine. They burn. They poison the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.