AI ndi mwisho wetu kama watu

AI ndi mwisho wetu kama watu

AFRIKAN GUY

Senior Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
102
Reaction score
110
Hizo hadithi za vitabu vya Dini wengi tunavichukulia kama za uwongo kwa sababu ni zakufikirika. lakini jua kwamba kunatofauti kati ya uwongo na kufikirika. Hadithi hizo ni za kufikirika lakini Sio za uwongo.
Hadithi hizi ni ukweli wenyewe WA maisha ya mtu
. Zimebeba ukweli mkubwa kuhusu maisha ya mtu.

Mfano Hali ya Adam na Eva kukubaliana kula tunda ili wawe zaidi ya mipaka ya utu wao.

Pia: hali ya Kaini na uzao wake kua Na Obsessed na teknolojia, kama matokeo ya kushindwa kufanya necessary sacrifices kwaajili ya Kuulinda Utu wao.

Technologia Ndio mwisho wetu, taratibu tunavyo kua na technologia kubwa Ndio mwisho wetu kama watu.
 
Hizo hadithi za vitabu vya Dini wengi tunavichukulia kama za uwongo kwa sababu ni zakufikirika. lakini jua kwamba kunatofauti kati ya uwongo na kufikirika. Hadithi hizo ni za kufikirika lakini Sio za uwongo.
Hadithi hizi ni ukweli wenyewe WA maisha ya mtu
. zimebeba ukweli mkubwa kuhusu maisha ya mtu.

Mfano Hali ya Adam na Eva kukubaliana kula tunda ili wawe zaidi ya mipaka ya utu wao.

Pia: hali ya Kaini na uzao wake kua Na Obsessed na teknolojia, kama matokeo ya kushindwa kufanya necessary sacrifices kwaajili ya Kuulinda Utu wao.

Technologia Ndio mwisho wetu, taratibu tunavyo kua na technologia kubwa Ndio mwisho wetu kama watu. Kizazi cha kaini kinajiua chenyewe Kwa kua obsessed na technologia.

Ai technolojia mpya Inafanya kazi za Mtu, Sasa mtu atafanya nini? mtu akikosa cha kufanya si ndio mwisho wake?
Ndo unatumia hizo hadithi na masimulizi ya zamani kuthibitisha ujinga na mawazo yako binafsi.

Ila makaffir bana
 
Hizo hadithi za vitabu vya Dini wengi tunavichukulia kama za uwongo kwa sababu ni zakufikirika. lakini jua kwamba kunatofauti kati ya uwongo na kufikirika. Hadithi hizo ni za kufikirika lakini Sio za uwongo.
Hadithi hizi ni ukweli wenyewe WA maisha ya mtu
. zimebeba ukweli mkubwa kuhusu maisha ya mtu.

Mfano Hali ya Adam na Eva kukubaliana kula tunda ili wawe zaidi ya mipaka ya utu wao.

Pia: hali ya Kaini na uzao wake kua Na Obsessed na teknolojia, kama matokeo ya kushindwa kufanya necessary sacrifices kwaajili ya Kuulinda Utu wao.

Technologia Ndio mwisho wetu, taratibu tunavyo kua na technologia kubwa Ndio mwisho wetu kama watu. Kizazi cha kaini kinajiua chenyewe Kwa kua obsessed na technologia.

Ai technolojia mpya Inafanya kazi za Mtu, Sasa mtu atafanya nini? mtu akikosa cha kufanya si ndio mwisho wake?
Kazi kubwa ya AI ni kuweka kwa usahihi mawazo yaliyoandaliwa/tolewa na binadamu.
Hakuna AI bila binadamu.
 
Hizi AI ni tools tu, kamwe hazitaweza kushindana na akili za mwanadamu, mwanadamu ana haiba, ana utashi, hatakosa cha kufanya
Ni kweli. Ila itakuaje pale AI inapoongoza mashine kufanya kazi za shamba kwa ufanisi. Waliokua wameajiriwa watafanya nini?! Yani AI inaburuta hekari 1000 kwa siku chache tu, kazi ambazo zilifanya na binaadamu kwa mikono!? Kuna shida itatokea tu.
 
Back
Top Bottom