Mumeona kuanzia jana mada za chawa wa CCM zikiambatana hapa JF.
Hii nipesa imeshatolewa yani mpaka wema hatafanyiwa shereee ya mtoto.
Kila aina ya rangi kwa pesa wanazotumbua mtaaacha kuona kila...
kuna upumbavu mkubwa sana katika mifuko jamii ,kama sio basi ni makusudi,inakuwaje watu walalamike kila siku hawapelekewi michango yao? yaani zama hizi za teknolojia muajiri anafuatiliwa...
Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii.
Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi...
Habarini,
Kwa sasa imezidi yaani ukijiunga na bando kupitia laini ya internet ya halotel jaupati sms ya kujiunga.
Huu ni wizi wa kimkakati kwani hata ukiangalia salio la kifurushi hupati sms ...
Haiwezekani watu wanauawa, wanatekwa, yeye yupo tu. Kama kweli wanaofanya matukio haya ni wahalifu wasio julikana basi yeye ndiye chanzo.
Huenda watu wanaotekeleza mauaji haya wanajua kuwa yeye...
Hatukatai mama na mtoto kupendana kama mzazi na mtoto lakini hii ni sawa?
Ni kweli mvulana huyu anampenda mama yake kwa jitihada za kumuandalia chakula lakini hakukuwa na namna nyingine kuonesha...
Mungu amewaumba viumbe wake na kuwapa akili hekima na busara. Na anapenda umtumikie kwa vile ulivyo yaani usijikatae. Ukijikana umekanane yeye aliekuumba.
Hebu tuone mambo yanoyo fanya...
KUNA MAHALI SHERIA ZETU ZINAKUACHA KINYWA WAZI
Baada ya kusoma hukumu hii ambayo inatokana na kesi ambayo ushahidi wa videos zake nami niliona tena mara nyingi, nimebaki mdomo wazi. Nimeijiwa na...
Ni matumaini yangu huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu, wenye changamoto poleni (in pain is where we live, you have to accept and love pain)
Moja kwa moja kwenye ushauri,,
Hakikisha...
Nina taarifa kwamba stand ya Magufuli anapatiwa muwekezaji kwa shughuli tofauti na stand inahamia mawasiliano (Japo si rasmi), na waliokuwa wanatoa huduma maeneo yale upande wa nje wameshahamishwa...
Kuitikia salam ni kitendo cha uungwana na kutoa salam kitendo cha uungwana
Hapa tunazungumzia salama za aina zote
Sasa inakuaje?
mtu kumpa salaam akakaa kimya imekaaje hii umewahi kumpa mtu...
Kwa sasa wanajitahidi kukuteka maana mtindo wa kuwekeana sumu watu wameshtuka labda kama ni mgeni.
Idara za serikali kila mtu anamuona mwenzake nyoka.
Ukiwa mpole, Mkweli, mpenda haki subiri...
Kwa muda mrefu sasa benki ya NMB tawi la Chamwino dirisha linalotumika kutoa huduma ni moja tu wakati kuna madirisha mawili ila moja halina mhudumu kwa muda mrefu sasa.
Hali hii inasababisha...
Mi kuna kitu naamini na bado na amini waislamu wengi elimu zao zina mapungufu.
Kwanini mtaki kufahamu kuwa imani inaweza kugawanyika madhehebu na bado mkasema ni sio dhehebu.
Iran ina pambana na...
Ndani ya Rock City Mall Mwanza kuna kero ya kupigiwa muziki mkubwa wakati wa usiku kucha, tunaoishia maeneo yanayoizunguka Mall hiyo, yaani kirumba, Kitangiri na Ghana kelele hizo zimekuwa kero...
Nikitumia concept ndogo sna ya kiuchumi ya money supply na inflation
Kwa bahat mbaya sna serkali hii katili imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei sas kitacho tokeaa by 2027 serkali itadondoka siyo...
Nchi inapitia katika wakati mgumu sana badala ya kutafuta suruhisho kwa matatizo yaliyojitokeza sisi tunaanzisha mengine.
Hivi nchi Haina wazee au washauri wazuri wa serikali. Kama wapo basi...
Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe...
Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.