Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
1. Jenga thamani ambayo ni vigumu kuiga. "Usiwe mtu anayehitaji nafasi; kuwa mtu ambaye nafasi inakuhitaji." Jifunze ujuzi ambao watu wengi hawana. Ujuzi hujenga uhuru. 2. Ahadi zako ziwe na...
7 Reactions
6 Replies
209 Views
Yes kama kawaida yangu mimi huwa story za maisha yangu za kweli huwa nawashirikisha hapa watu mjifunze Mara ya mwisho niliwaambiaga nilipataga mwanamke mwenye hela bikra Pia miezi mitatu nyuma...
1 Reactions
5 Replies
126 Views
Barabara za zege zinadumu na gharama nafuu kuliko za lami kwanini nchi nyingi za Africa wanapendelea lami?
4 Reactions
14 Replies
335 Views
Nipo kijijini nimeenda kwa Mwenyekiti kumjuza nipo mtaani kwake, kaniambia kuwa natakiwa kutoa shilingi elfu moja ya mchango wa Mwenge. Sasa najiuliza mchango wa mwenge kivipi? Mwenye ujuzi anijuze.
4 Reactions
7 Replies
183 Views
Iringa na mwanza mna mawe mengi sana kwanini msijenge barabara za zege au za mawe kupunguza gharama na zinadumu sana hizi
3 Reactions
14 Replies
190 Views
Kuna watu wanaweza kuyaona maisha haya ni sinema ila kuna wengi huyapitia. Kwenye kujitafuta safari huwa ina mabonde na makorongo, kuna muda hadi mtaji unaisha ama umeibiwa unarudi zero kabisa...
7 Reactions
14 Replies
733 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeungana na maoni ya baadhi ya wadau kuwa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya...
0 Reactions
4 Replies
155 Views
Wakuu, Naomba Kujua mtandao ambao atleast una Covarage nzuri ya mawasiliano Kwa hapa Tanzania Yani upatikane maeneo mengi zaidi.
1 Reactions
6 Replies
281 Views
Yamepita majuma kadhaa toka vita kati ya Marekani-Israel dhidi ya Iran kusitishwa huko mashariki ya kati. Vita hii ilipelekea bei ya mafuta ya petrol na dizeli kuwa juu kuliko kipindi chochote...
1 Reactions
7 Replies
292 Views
  • Redirect
RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Wanaohusika na maswala ya mipango miji pamoja na Tanroad tunaomba mtuondolee stendi ya mabasi apa NATA kwani ndo chanzo cha Foleni katika Barabara ya Nyerere, just imagine foleni ya magari...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
1. KKKT huwambii kitu, wao wamehaidiwa kuwa Rais awamu ya 7 atakuwa mKKKT, wao hawakemei mauaji, ufisadi wala wizi wa uchaguzi 2. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea mauaji ya 29 oktoba 3...
2 Reactions
12 Replies
263 Views
Kitabu cha Isaya Sura ya 4 - Biblia Takatifu [Suahili Union Version] *Isaya 4:1 Na katika siku ile wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi...
4 Reactions
18 Replies
381 Views
Kabla ya October 29 2025 yani sifa na ngonjera zilikuwa nyingi mpaka na nyimbo. Ila tokea hapo naona idadi kila kukicha inazidi kupungua. Hivi mshajiuliza mpaka anaamua kutumia pesa walazimishe...
2 Reactions
8 Replies
202 Views
Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
TATIZO SIO KUUMIA, BALI JINSI UNAVYOKABILIANA NA HAYO MAUMIVU NA PRESHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Binadamu hawezi kuishi bila kuumizwa, kuumia na kuumiza wengine. Katika falsafa za...
3 Reactions
8 Replies
188 Views
Tukiweza kupata supporters wa kutosha tunaweza kuitoa CCM mamlakani ifikapo 2030. chama hicho ni cha mafisadi na hakifai kabis wanawakombozi waliuwawa wengi...
1 Reactions
1 Replies
64 Views
1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo...
4 Reactions
6 Replies
148 Views
Serikali imesema haijauza wala haijakabidhi rasilimali za misitu au maliasili za Tanzania kwa mataifa ya nje kupitia makubaliano ya biashara ya kaboni, ikisisitiza kuwa hatua zinazoendelea...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Back
Top Bottom