Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Sijui kwa nini wanaume wamekuwa wakiwabeza, waoga sana na wenye allergy kwa single mothers japo kwenye jamii ya Kiswahili watoto husemwa ni baraka!
3 Reactions
– Replies
– Views
Tamasha la Twende Zetu kwa Yesu lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilitheri halikupaswa kutoza viingilio kwani neno la Mungu linatolewa bure na haliuzwi. Hebu tuangalie baadhi ya mistari:-...
5 Reactions
33 Replies
449 Views
  • Redirect
Hakuna kitu ambacho hapa usalama wanajilaumu tena tukiwa bar kama kukubari ikichama cha CCM kufikisha hapa. Na CCM wapo wanajuta kwa nini walishindwa kujua huyu mtu kuwa raisi. Sio vizuri...
2 Reactions
– Replies
– Views
Usikubali kuwa Yesu kama maandiko yanavyo sema.Kubeba misalaba ya watu itakuponza. Leo CCM kisingizio chao umaskini tulipewa na sisi tuwe na Amani tukiwaona wakiwa na mivinyo na kuku. Kwa imani...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Kuna mada hapa JF niliweka ila JF kujipendekeza walifuta labda kama mnalipwa kuishi na hawa watu. Mada hapa niliweka kuhusu mwenendo wa Uganda unavyofanya na Tanzania unavofanya. Ili bomba la...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Featured
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Mussa Juma Assad, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kuchelewa kusikilizwa kwa kesi yake iliyopo katika Court of Appeal of Tanzania...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Angalizo...! Hii siyo Id mpya kama wachache wasiofikri vyema, ambao yeyote kwao anayeongelea amani na utulivu kwenye jamii wanamgeuza kuwa adui. Niko hapa tangu 2018. Binafsi nimechagua kuwa...
1 Reactions
31 Replies
258 Views
Folks what are the pros and cons of CNG cars am thinking of doing transition of one of my car I need advice before i make a move
3 Reactions
22 Replies
446 Views
Habari wanajf!!! Nimeamua kuanzisha group ili ili tuweze kufanya mazoezi ya kutembea pamoja kila siku ya weekend (Saturday na Sunday).
1 Reactions
13 Replies
182 Views
Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu Hii mindset kawaambia nani? Nani kasema lazma mtetee ujinga? Kwani...
1 Reactions
4 Replies
121 Views
Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu karibu na kwa Dr. Hiza. Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025. Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
3 Reactions
19 Replies
625 Views
Umeshawahi kufanya jambo lolote ambalo hujatarajia kulifanya ili usidhalilike? Niliwahi kununulia wadada flan chakula nikawanunulia nikabaki sina hata hamsini kwa sababu ya masifa je?
4 Reactions
4 Replies
149 Views
Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
3 Reactions
42 Replies
541 Views
Kwa miaka mingi, nchi za Ulaya, hususan Uingereza (UK), zimekuwa kivutio kikubwa kwa watu wanaotafuta maisha bora. Wengi huamini kuwa huko kuna ajira nyingi, mishahara mikubwa, huduma bora za afya...
1 Reactions
3 Replies
194 Views
Kumekuwa na ujenzi holela wa nyumba za ibada hasa Makanisa katikati ya makazi na kuendesha ibada zao kwa sauti kubwa Siku hizi mtu akiwa na hata kiwanja chake kilichopimwa kwa ajili ya makazi...
1 Reactions
13 Replies
279 Views
Kitendo cha kuweka wadada walioumbika na kuwavalisha vimini vyenye mpasuo ili kuvutia wateja ni ukahaba. Kuna vile vidada vinavyouza vinywaji na bites kila mara vinainama inama, paja linakaa...
11 Reactions
41 Replies
796 Views
Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka...
16 Reactions
38 Replies
770 Views
Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Mpaka kufika saa 8 wengi simu zenu zitakuwa zimekosa chaji. Naomba kujiweka sawa nawapa taarifa ila wanataka kufanya kitu kibaya watawala na washapanga.
4 Reactions
3 Replies
187 Views
Back
Top Bottom