Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naaaam, vijana wa makamo maarufu kama millennials, wanasifa moja tu niliyoifanyia tafiti ya kutosha .. Hiki kizazi kimejaaliwa miili migumi isio choka haraka kama cast iron.. Hawa viumbe...
7 Reactions
14 Replies
206 Views
Waziri katambi alipootoa agizo la NIDA Jumapili alijitokeza Lucas kulalamika sana. Tokea hapo Jumapili hakuna mada zake tena. Wana JF kapatwa na nini huyu
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Wakuu salaam, Wananchi wa kata ya Kibosho halmashauri ya wilaya ya Moshi wamekarabati barabara zote za eneo hilo kwa michango yao binafsi. Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu wana...
11 Reactions
51 Replies
2K Views
weka ngoma hapa unayoipenda weka attach tuipakue magoma makali au link Baba mtakatifu91 ERTUGRUL BEY realMamy Weka goma tuemjoy wote mm kwa sasa natumia cm ndogo inakataa kuweka audio japo...
2 Reactions
24 Replies
268 Views
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa. Profesa Shao ambaye ni...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa...
0 Reactions
6 Replies
287 Views
Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti. Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza. Walicho wahi sasa ni...
0 Reactions
3 Replies
88 Views
Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way...
10 Reactions
77 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, huduma ya Airbnb imekuwa ikiibuka kwa kasi kubwa nchini Tanzania na duniani kote. Hii ni jukwaa la kidigitali linalowawezesha watu binafsi kukodisha nyumba zao au...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mojawapo ya mtumishi ambae nimeathiriwa na mfumo huu wa ESS katika upandishaji wa madaraja. Nimejaribu kufatilia je, ni sehemu gani sijaenda sawa hata sioni ninaandaa azimio la kazi...
0 Reactions
8 Replies
360 Views
Uchambuzi wa Makosa ya Kihistoria katika Uislamu: Mifano, Nukuu, na Ushahidi wa Kihistoria 1. Madai kuwa Biblia Imeharibiwa (Tahrif) 🟠 DAI LA UISLAMU: Qur'an inadai kwamba maandiko ya awali kama...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau. Kuna habari nimeona mitandaoni ikanifikirisha kidogo nikaona niilete jukwaani tupate mitazamo ya wengine. Ni kwamba Inasemekana ya kwamba watu wote waliokunywa kikombe...
6 Reactions
44 Replies
952 Views
Mimi nakumbuka miaka hiyo nasoma boarding. Kulikuwa hakuna umeme sisi wa mjini ndo tulikuwa na vibatari. Usiku tulikuwa tunaiba mahindi shamba la shule tunaweka kwenye ndoo zile za bati...
1 Reactions
19 Replies
333 Views
Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na...
118 Reactions
391 Replies
24K Views
MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100. Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na...
24 Reactions
288 Replies
85K Views
Benki kuu ya Tanzania (BOT) wanawajibu wa kutoa ufafanuzi juu ya kwanini wanapokea pesa haramu kutoka kwa maharamia? Nafafanua ni kwanini nasema hivi… Pesa ya zamani ikitaka kufutwa na kuletwa...
17 Reactions
54 Replies
3K Views
Kwa wale uume wao huwezi kusimama erection kuna aina mbili ya upasuaji ama kupandikiza uume penile implant surgery. Kupandikiza uume ama penile surgery nikuweka cylinders na pumps kwenye uume na...
0 Reactions
6 Replies
181 Views
Anonymous
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa. Mfano, Tarehe...
4 Reactions
42 Replies
631 Views
Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa, Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili...
7 Reactions
83 Replies
937 Views
Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom