Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,464
- 9,154
Wakuu, Naomba Kujua mtandao ambao atleast una Covarage nzuri ya mawasiliano Kwa hapa Tanzania Yani upatikane maeneo mengi zaidi.
Ooh Yas Kwa sasa Wana Covarage nzuri?Mix by yas japo hili jina limekaa kikuda ila kwa sasa wapo karibu kila kona hadi kiteto umaisaini
Hawa jamaa kwenye Internet wapo vizuri sana aise