Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
2,109
Likes
1,651
Points
280
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
2,109 1,651 280
MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100.

Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Meli hii sio kongwe kama ilivyokuwa MV Victoria iliyojengwa mwaka 1961; hii ilijengwa mwaka 1979 lakini ilikuwa chini viwango na mbovu kuliko MV Victoria.

Meli iliua watu zaidi ya 800 siku ya Jumanne ya tarehe 21 ya mwezi wa tano mwaka 1996 eneo la Bwiru KM 30 kutoka bandari ya Mwanza.

Basi nawakaribisheni mwenye kujua chochote kuhusu meli hii au alishasafiri na meli hii au aliponea chupuchupu ajali atupe experience.

Karibuni
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
2,109
Likes
1,651
Points
280
Age
23
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
2,109 1,651 280
Mkuu hii meli ndo wanasemaga muwa uliizamisha si ndo hii mkuu
Sijui story huwa ni kweli? Ila Tatizo kubwa ni uchakavu wa meli,kutoboka na kuzidisha tani meli ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 400 lakini siku hiyo ilikuwa na watu 1000 kitu ambacho sio cha kawaida wengine walikosa usafiri bandari ya bk lakini walisafiri kwa daladala had I kemondo km 13 ili wahiwahi wengine wangine wanahusisha ajali na mjini ya ziwani na uchawi
 
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
9,919
Likes
3,678
Points
280
Jodoki Kalimilo

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
9,919 3,678 280
Sijui story huwa ni kweli? Ila Tatizo kubwa ni uchakavu wa meli,kutoboka na kuzidisha tani meli ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 400 lakini siku hiyo ilikuwa na watu 1000 kitu ambacho sio cha kawaida wengine walikosa usafiri bandari ya bk lakini walisafiri kwa daladala had I kemondo km 13 ili wahiwahi wengine wangine wanahusisha ajali na mjini ya ziwani na uchawi
Hii inafanana na Mv. Mwongozo la Lake Tanganyika
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,697
Likes
3,921
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,697 3,921 280
Daah..naikumbuka hii ajari..tupo secondary jamaa yangu alifiwa na dada yake form six aliyekuwaa anasoma Rugambwa high school....mwenyezi awalaze pema marehemu wote...ameen.
 
donniebrasco

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
894
Likes
682
Points
180
donniebrasco

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
894 682 180
Hivi ziwa Victoria lina urefu wa mita 80 kwenda chini, kwa nini wasingeitoa hiyo meli iendelee kupiga kazi??
Sio kila sehemu ina mita 80, mita 80 ni kina kirefu kabisa kwenye ziwa victoria kama sijakosea lakini unapokuwa karibu na fukwe zinapungua angalia jinsi kina chake kilivyo

img_1316-png.646271
 
magige Dm

magige Dm

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Messages
526
Likes
1,074
Points
180
magige Dm

magige Dm

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2017
526 1,074 180
Sio kila sehemu ina mita 80, mita 80 ni kina kirefu kabisa kwenye ziwa victoria kama sijakosea lakini unapokuwa karibu na fukwe zinapungua angalia jinsi kina chake kilivyo

View attachment 646271
Shukrani sana. Sasa mbona sio refu kihivyo, kwanini wasingeitoa.
 
Forum statistics

Threads 1,252,012
Members 481,948
Posts 29,792,888