Millennials hawazeeki ni well oiled machines

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,078
Reaction score
7,814
Naaaam, vijana wa makamo maarufu kama millennials, wanasifa moja tu niliyoifanyia tafiti ya kutosha .. Hiki kizazi kimejaaliwa miili migumi isio choka haraka kama cast iron..

Hawa viumbe hawazeeki kifala , wanakula bia tangu nazaliwa na wanakufa katika mitungi lakini bodies zao bado zinadai..Hiki ndicho kizazi kilichobarikiwa miili imara kuliko vizazi vyote...Hawa ndio Toyota version ya binadamu.

Niko nakula bia

IMG-20260629-WA0014.jpg
 
Naaaam, vijana wa makamo maarufu kama millennials, wanasifa moja tu niliyoifanyia tafiti ya kutosha .. Hiki kizazi kimejaaliwa miili migumi isio choka haraka kama cast iron..Hawa viumbe hawazeeki kifala , wanakula bia tangu nazaliwa na wanakufa katika mitungi lakini bodies zao bado zinadai..Hiki ndicho kizazi kilichobarikiwa miili imara kuliko vizazi vyote...Hawa ndio Toyota version ya binadamu.

Niko nakula bia
Hahahaha
 
Haaaaaaaaaah 🔥 millennials mmekumbukwa
 
Mimi pia ni kizazi cha milenia. I am at early forties lakini madogo wa 95 plus wananiona kama mshikaji wao. Hakuna nachochagua kwenye vinywaji na vyakula kilichopo mbele yangu twende kazi.
nakubali mkuu , Mungu na maajabu yake , gen z wengi miili inasaliti umri mapema
 
Mimi pia ni kizazi cha milenia. I am at early forties lakini madogo wa 95 plus wananiona kama mshikaji wao. Hakuna nachochagua kwenye vinywaji na vyakula kilichopo mbele yangu twende kazi.
Na hayo macho yako mekundu kama damu, ubongo utakuwa umevurugika na ukiongeza mipombe lazima ujione kijana
 
Unakuta mtu ni gen z ila ana kitambi, mvi na upara wakati umri wake ni mdogo chini ya miaka 40. Huyu mtu atafikisha umri wa miaka 80 kwa hali hiyo?
 
Kizazi hiki kisahau kuhusu kufika 80 mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom