Nifanyeje nisife

Nifanyeje nisife

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,386
Reaction score
29,032
Najua kufa ni lazma lakini wakati mwingine ukituliza akili ukaona /tizama kwa mwenye uelewa hakuna anaependa kifo.

Lakini kuna mda unawaza au hiki kifo kwa nini kimekuwepo ukiangalia ndugu jamaa marafiki waliokuwwa wako au kipindi unazika ukaqangalia marehemu alafu ukawaz ipo siku na wewe utakuwa kama wewe au ukawaza hivi mtu akifa anajisikiaje au huko aendako kukoje au anafanywa nini inauma sana, hapa ndio panakofikirisha zaidi.
Nifanyeje nisife!!!
 
Kweli asilimia kubwa ya binadamu hatupendi kufa

Ila pia kutokufa kwenye dunia hii ikiwa unazeeka pamoja na changamoto na kero za kila namna kuishi milele Mhh ni shida nyengine
 
Ukifa Tanzania
Unaenda kuzaliwa India kama Mhindi mweusi.
 
Najua kufa ni lazma lakini wakati mwingine ukituliza akili ukaona /tizama kwa mwenye uelewa hakuna anaependa kifo.

Lakini kuna mda unawaza au hiki kifo kwa nini kimekuwepo ukiangalia ndugu jamaa marafiki waliokuwwa wako au kipindi unazika ukaqangalia marehemu alafu ukawaz ipo siku na wewe utakuwa kama wewe au ukawaza hivi mtu akifa anajisikiaje au huko aendako kukoje au anafanywa nini inauma sana, hapa ndio panakofikirisha zaidi.
Nifanyeje nisife!!!
Mkuu hakuna mwenye uzoefu na haya maisha ya hapa duniani. Iko hivi wewe ni wa thamani sana ndo maana mimi zamani nilikuwa sijui kuomba ila sasa najua. Zamani nikitaka kuomba nilikuwa natanguliza mahitaji mbele kama pesa na maisha mazuri ila kumbe nilikuwaa wrong kwa sasa nasali hivi "Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote ulivyoviumba ni mali yako nakushukuru kwa zawadi ya uzima unaonijalia mimi pamoja na familia yangu umetufanya jinsi tulivyo si kwa mapenzi yetu bali kwa wema wako usio na kipimo. Wajalie pia wagonjwa wote wapate afya-AMINA
 
Jiunge na uislamu ila hata ukifa bado n faida mana utaendelea kula maisha ikiwemo kulomba mabikra tupu 🔥
 
Ili usife unatkiwa uwe ushakufa. None die twice
 
Unapakumbuka ulipokuwa kabla ya kuzaliwa? Tuanzie hapo kwanza
 
Manabii, wafalme, matajiri, madikteta wakutisha ila kifo kiliwalamisha mchanga!! Hii kumaanisha kwamba kifo kipo imara kwa ajili yetu 😂😂
 
Najua kufa ni lazma lakini wakati mwingine ukituliza akili ukaona /tizama kwa mwenye uelewa hakuna anaependa kifo.

Lakini kuna mda unawaza au hiki kifo kwa nini kimekuwepo ukiangalia ndugu jamaa marafiki waliokuwwa wako au kipindi unazika ukaqangalia marehemu alafu ukawaz ipo siku na wewe utakuwa kama wewe au ukawaza hivi mtu akifa anajisikiaje au huko aendako kukoje au anafanywa nini inauma sana, hapa ndio panakofikirisha zaidi.
Nifanyeje nisife!!!
Haiwezekani mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom