Ukishaona hali ya usalama haiaminiki ni kuchukua hatua za dharura, haraka na za maksudi.
Usingoje wala kupuuzia. Fanyia kazi hisia zako na kuonywa na watu kama britanicca anavyotoaga alert humu...
Njia kuelekea goba kupitia Milimani then Makong imekuwa ba foleni mbaya sana, inatuumiza sana sisi wa goba haa ukizingatia njii hii inasav wakazi wa makongo, goba, madale, kimara, mbezi na sehemu...
Juzi, takribani siku tatu zilizopita, niliona andiko la mdau likielezea kero ambayo sisi abiria tumekuwa tukikumbana nayo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Kwa zaidi ya miezi mitano, huduma za...
Wasalaam,
Miaka 11 iliyopita siku kama ya leo, Mjomba Mrisho Mpoto aliachia kibao chake cha Nikipata Nauli ambacho kilitikisa sana mitaa mbali mbali akimshirikisha Banana Zorro. Reflecting this...
Dar es Salaam, 1 Julai 2026
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni...
Nimeshangaa sana hapa Dodoma kuna barabara nimepita ina mashimo mengi sana makubwa kama mahandaki katikati ya barabara na pembezoni ambayo hayajafunikwa!
Hii ni hatari sana kwa vyombo vya usafiri...
Wakuu je? huku ni kujifariji au ndio uhalisia kusema kwamba mwanamke tabia sura hata mbuzi anayo huu ni uhalisia mwanamke tabia hata ana sura mbaya ila tu akiwa na tabia nzuri ndo mwanamke bora...
mfanyabiashara maarufu wa asili ya kinaijeria maarufu kama big joe ameuliwa na watu wasiojulikana
Mmoja wa hamiaji baada ya kushambuliwa na kundi la wazawa
Msauzi akiwa amekufa baada ya...
Tangu waziri wa Mambo ya ndani atangaze kuwa kutakuwa na ukaguzi, polisi wanazunguka mahotelini usiku wa manane na kugonga milango kwa nguvu kama umevamiwa na majambazi.
Kwa wageni hii ni aibu...
Wakuu, huu ulinzi ambao nimeushuhudia katika viunga vya jiji la dar es salaam ni mwana ukome.
Askari wameoneka na silaha za moto katika makutano yote makubwa katika jiji hili, wakuu kunani katika...
Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi.
Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi...
Viongozi hawajatolea ufafanuzi wakina kwanini fedha hazijawafikia walengwa na wako kimya tokea fedha hizo zilipoingiwa katika halmashauri yetu ya Nyasa baada ya kuzipokea mamlaka imekaa kimya hadi...
Baada ya kumsikia waziri Mkenda akitangaza msimu wa kuwazawadia watafiti ambao machapisho yao yatakuwa bora zaidi nikaamua kutemebelea tovuti ya wizara ya elimu ili kuona muongozo huo una nini...
Why Israel Could Still Restart the Iran War?
The President told us the war is over, but one of the countries still shaping the conflict never even signed the paper.
Two weeks ago, the United...
1. Mabango ya manabii/wachungaj
2. Mabango ya CCM
3. Matangazo ya waganga
Yani kila sehemu yapi ovyoovyo, nchi haina utaratibu kabsa kama tunaishi porini. Huwez kukuta ujinga huu kwa watu...
Wakuu,
Kama umepita mitaa ya Mikocheni hivi karibuni utagundua kuna wachina wengi sana.
Pale Ursino Street, wana hospitali kabisa ya wachina, supermarket na restaurant kubwa sana special kwa...
Hii tabia inakera sana. Unakuta mdada yupo baa anakunywa alafu akitaka kwenda chooni kukojoa anachukua tishu mbele za watu.
Hii inadhihirisha wazi anaenda kufuta papuchi yake na tishu. Alafu...