Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,936
- 12,396
Wakuu, huu ulinzi ambao nimeushuhudia katika viunga vya jiji la dar es salaam ni mwana ukome.
Askari wameoneka na silaha za moto katika makutano yote makubwa katika jiji hili, wakuu kunani katika jiji letu mambo haya mageni machoni mwetu.