Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous..
Then kama beberu...
Shalom Shalom wakuu...!!
Katika kuperuzi kwangu mtandaoni nimekutana na taarifa kutoka kwa shirika la habari la kimataifa la Al Jazeera ikisema kuwa bei ya mafuta imeshuka sana katika viwango...
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema...
Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.
Swali langu ni hili hapa,
Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka...
Huu ni mtego wa "Lifestyle Inflation" (Mfumuko wa Gharama za Maisha Binafsi)—ule ugonjwa unaotafuna vijana wengi wa Kitanzania kati ya miaka 24 na 35 pale wanapoanza kushika "pesa kidogo" ya...
Unajua leo nilikuwa na cheki ile performance ya Justin Bieber ya coachella...
Na as a fan, nimejikuta najifunza kitu muhimu katika maisha..
Ya kuwa inabidi mtu a jifunze namna ya ku adapt...
Unajua Mimi pia napenda ccm ing'oke ( ila siungi mkono maandamano ya amani)
Wenzenu CCM wana majeshi yote, jwtz imeshajiweka wazi ipo kwa ajili ya kulinda mipaka ya ccm isiingiliwe, jeshi la...
Habari
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye kujua, Ajira za jeshi, polisi na magereza hutolewa tofauti tofauti ?
Au zinatangazwa Ajira za polisi then baada ya mafunzo mnagawanyishwa ?
Na je huwa...
Ahlan wa Sahlan Ndugu zangu.
Kusema ukweli teknolojia imekiambia sana kiasi kwamba imetuacha nyuma sisi wazee. Kuna hiko kidubwana huwa nakutana nacho sana kwenye vyoo vya umma nitoe la moyoni...
Huyu mzanzibari alikua kama anko wangu nadhani jamii forum ndo iliyo tufanya tuwe kama ndugu, mi nilikua nimeajiriwa na mdogo wake wa kike, ndo tulipo fahamiana hapo.
Alikua anafanya kazi smz...
Salama
Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua
Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni...
Mwanza umelala mno
Vibe na biashara, matajiri yote Sasa ni Geita
Oyaa Geita ni balaa, Geita mjini, KATORO,Buseresere, Chato, Mganza, Runzewe, Nyangwale
Kuna mzuka sio poa, watu wanapiga pesa na...
Wataalamu wa afya wanasema ili kupata utulivu na kuondokana na msongo wa mawazo, hakikisha unalala kwa masaa 7 hadi 8 na kuepuka kutumia simu kabla ya kulala.
Unaweza kusikiliza nyimbo za...
Dar es Salaam, 1 Julai 2026 Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa tarehe 30 Juni 2026, imekabidhi Serikalini mchango wa TZS 61,053,535,363 ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.