Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea
Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na...
Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana!
Naomba usipuuze hii!
Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote...
Hivi waliokubaligi hayo mambo ya kijinga na kuyaweka kwenye sheria za Nchi ni kina nani?
Yaani hizo dini zenu zinasema mwanaume ndio anatakiwa kulisha familia,mwanamke akiwa na Mali ni zake...
Na siku hizi kahisi anaweza kuupata ubunge kwa zali basi katulia tulia maneno ya kiburi kapunguza sana hapo yupo na watu wake wanaomsapoti wanaenda kuvimba kidogo nyumbani aisee wenye nacho...
Yeye akiwa na shida anaomba nimsaidie pesa. Namsaidia. Mimi nikiwa na shida. Anataka anipe kipapiro/papuchi. Ambacho hicho anacho yeye all the time so haingii gharama. Eti ndo mapenzi ndo sadaka...
Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying...
Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo.
Kuna bro ni...
Kuna Bar inaitwa Bambataa iko barabarani kiasi kwamba walevi ndani wakijaa wengine wanasimama barabarani , nimefatilia kwa nini yenyewe haipo katika list ya Bar hatarishi nikaambiwa ni ya Kigogo...
Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na...
Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew Julai 4, 2026 amewataka watendaji wa mamlaka za maji nchini kutekeleza majukumu yao kwa wakati bila kusubiri ziara za viongozi wa Serikali, akisisitiza...
Kuna watu wawili wamekaa meza moja wanakunywa bia, wote wameanza muda mmoja na wanakunywa karibu kiwango kinachofanana.Baada ya muda ,Mmoja ameenda kukojoa mara 3.Mwingine hajainuka hata mara moja...
Mi nikiona mtu mwanaume mwenzangu ana lalamika kuwa wenye pesa wamemchukua au kadanganywa na mali.
Kichwa cha habari kishajieleza hapo juu.
Wanawake wengi wamejificha kwenye bei ya kujiuza kama...
Nilipokuwa mtoto, niliwatazama wahitimu kwa heshima kubwa. Kwangu, cheti cha chuo kikuu kilikuwa ushahidi wa juu kabisa wa akili, hekima, na maadili. Niliamini kwamba mtu yeyote aliyetumia miaka...
Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’.
Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo...
Kitu cha Nje Kinawekajwaje Ndani? kwa Wanaume Wanaolilia Mapenzi.
Wakuu leo nataka nm kuwaambia ukweli sababu mmezidi upumbavu na ulimbukeni usio na mipaka yaani nyie vijana wa sasa mmebaki...
Usemi ule maarufu wa Kiingereza unaosema "Fix your sleep before you fix your life" (Tengeneza usingizi wako kabla ya kutengeneza maisha yako) una uzito mkubwa sana wa kisaikolojia, kibiolojia, na...
Wadau, tutakumbuka kuwa wiki kadhaa zilizopita kampuni ya Mofat, inayotoa huduma ya usafiri wa Mwendokasi katika njia ya Mbagala, ilieleza mbele ya viongozi wa Serikali kuwa ina takribani mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.