Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani.
Endapo hilo litatokea, na...
Sms za amani zimeanza kuingia kwenye simu zetu bila wenyewe kupenda, kwanini wasitume sms kututaarifu kuwa mafuta yameshuka bei, huduma fulani zimekuwa bora, watuambie mafisadi wamekamatwa, rushwa...
Introduction
Petrochemistry is an advanced area of petroleum chemistry focused on the production of petrochemicals chemical products derived from petroleum and natural gas. These petrochemicals...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu...
Wakuu,
Naona baada nyuzi zangu kuwatandika makofi ya uso na kuwavua nguo mchana kweupe, wengi mmeingia PM mmejaza machoni mate mkilialia mkitaka suluhisho,Mnasema Ooh, usituchambe tu kila siku...
Hi serikali huwa inachezea sana wananchi kwenye suala la bei ya mafuta. Kwa mfano, siku zote huwa tuna akiba ya mafuta yaliyonunuliwa ya miezi mitatu. Vita ya Iran na USA ilipoanza, japo tulikuwa...
Mimi ni kijana ambae misheni town yaani sijawahi kuchagua kazi au biashara pia nina bahati sana ya kupata kazi yoyote ninayo itaka hata kama kesho nikaenda tra lazima nipewe kazi
Kutokana na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha...
CHADEMA’s stability is threatened by explosive claims of financial irregularities involving Heche. Accused by Sugu and Lema of mishandling donor money, including TSh 70 million that never reached...
Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua.
Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko...
Ninekumbuka kauli hii kwa wanazuoni wakubwa.
Ukiona mtu anakwambia we mchawi sana ina maana kuwa uchawi wake umeshindikana kwenye giza ,sasa kaamua kukueleza kuwa wazi wewe ni mchawi.
Leo CCM...
Nilkuwa nafanya utafiti wa kitaaluma juu ya makabila ya mkoani wa Kigoma.
Nilipowauliza wenyeji wangu Waha kuhusu kabila la Wamanyema kwanza waliniona kama zuzu.
Wanadai hamna kabila lisilokuwa na...
Natoa salamu kwenu marafiki na ndugu zangu. Kwa wale wasiolifahamu hili kabila. Wamanyema ni kabila linalopatikana katika mkoa wa Kigoma, hasa hasa maeneo ya mjini kama vile Kigoma mjini...
Salaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya...
Utakuta mkuu wa idara kwenye hizi halmashauri zetu analipwa mshahara wa 'leaders scale' pamoja na house allowance, electricity allowance, communication allowance, usafiri pia anapewa na kazi...
Tulipofikia sasa nimekumbuka Biafra War .Haya haya yalianza hivi hivi.
Utawala ukishashindwa kusimama kujua wote tunaitaji kuwa wamoja.
Usitarajie hiyo serikali itafika kuwa moja.
hapa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.