Kwani,wewe huwezi kusaidia kuitunza kwa niaba mkuu?Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.
Usipotunza tutakulazimisha,maana ni Kwa faida yako na kizazi chako wewe usiyejitambua.Siku ukitoka hapo Kwa shemeji yako ndipo utakapoelewa umhimu wa amani.Kwa Sasa kula kulala huwezi elewa maana ya huu ujumbe,Kwa hiyo Lazima tukulazimishe.Ajira mpya ya buku7.
Karibu.
Hiyoo! Imeingia kwenye simu yako!Oya hilo limeseji lenu msinitumie mimi
Yupo wapi polepole???Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.
Mna aleji na Haki.Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane.
that's useless,7/7 effects