Kwanini unasambaza VVU kwa makusudi?

Kwanini unasambaza VVU kwa makusudi?

Wengi wanasambaza kwa makusudi ndio maana wanakufa mapema.
Ukiwa mwathirika lazima uilinde afya yako kwa heshima kubwa

Unakuta waathirika wanapata maambukizi mapya baada ya kulala na mtu mwenye vvu. Baada ya hapo dawa haifanyi kazi anateseka sana.
 
Yani mtu unajua kama ana umeme lakini anasambazia wenzie kama hana akili timamu..
SwaliKwanini unasambaza VVU kwa makusudi??

#Ukimwi upo na unaua pima mapema jitambue chukua tahadhari.
Yaani unakuta mtu anajua kabisa ana UKIMWI, lakini anambaka mbuzi.

Mbuzi huyo akichinjwa basi wote wataokula nyama yake wanapata umeme.

Hii ☝️ wala haifai na haipendezi!
 
Wengi wanasambaza kwa makusudi ndio maana wanakufa mapema.
Ukiwa mwathirika lazima uilinde afya yako kwa heshima kubwa

Unakuta waathirika wanapata maambukizi mapya baada ya kulala na mtu mwenye ukimwi. Baada ya hapo dawa haifanyi kazi anateseka sana.
Point
 
Back
Top Bottom