and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,461
- 40,258
1. Ndugu zangu inasikitisha jamii inafurahia Matusi hadharani. Wazazi NAO wanaona ni chanzo cha kipato. Wenzetu duniani wanapambania Innovation za maana hapa kwetu mtoto anachamba mama zake eti Malaya.
2. Mheshimiwa Gwajima chukua hatua Wazazi, waliompa hiyo kazi na huyu mtoto hapaswi kuendelea kuchekewa.
3. Tunaharibu vizazi kwa mwamvuli wa kipaji.
4. Punde, redio za FM wataanza kumualika na kumhoji. Dr. Kumbuka akimpata huyu tayari dogo atapita bila kupingwa kuingia lile kundi lao la kuvaliana mipira chumbani