Wanaukombozi mmeamuje leo?

Wanaukombozi mmeamuje leo?

Waandamane siku za kazi, tunashindwa kunywa beers zetu vizuri
 
Tangazeni tena maandamano siku ya kazi banah! Hii ya leo hata hawajapata hasara, for, serikali leo ni public holiday. Watieni hasara Jtano, Alhamisi, Jtatu, Jnne au Ijumaa. Wameziba masikio.
 
subiri 8/8 na MO29
 
Back
Top Bottom