Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Angalia ukatili dhidi ya wadada wa kazi. Tazama video hii ya mfanyakazi akipigwa fimbo na bosi wake akidai amemuibia hela, kisha kuamua kupiga mbele ya mwanae na mwisho wake akamfukuza nyumbani...
3 Reactions
34 Replies
397 Views
Hii barabara haikamiliki hata kidogo, kibaya zaidi wanajenga na kuchimba mashimo makubwa Kibaya zaidi baadhi ya vijipande wameminya njia na rest zinatengenezwa kama Garden na kuwekwa peving? In...
2 Reactions
10 Replies
64 Views
Nikiwaza mustakabali wa taifa hili, afisa kipenyo, mh. Muwekezaji wa mabnda ya chips dar na mikoani, mlimaji wa ufuta na mpunga, mshauri mzuri na mwanadiplomasia nimetulia nikipata chakula cha...
4 Reactions
16 Replies
123 Views
Kipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu... Wakasema wakitaka waamini kama kweli...
12 Reactions
12 Replies
198 Views
Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi. Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa...
4 Reactions
2 Replies
74 Views
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
11 Reactions
143 Replies
2K Views
Acha marafiki fake waende Mwache muigizaji aende, Mwache kausha damu aende. Ziache tabia mbaya ziende, Acha past yako iende, Acha kazi isiyo na hadhi iende. Acha "wewe" yule...
1 Reactions
2 Replies
43 Views
Kila safari ya uongozi huanza na hatua moja na kwa Deogratius John Ndejembi, hatua hiyo imejengwa kwa miaka ya uzoefu, utumishi na majukumu mbalimbali katika uongozi wa umma. Kutoka katika ngazi...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Halmashauri ya Mji Mafinga inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyotolewa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dkt. Victor Msafiri, katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
71 Views
Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia...
19 Reactions
113 Replies
1K Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
3K Replies
168K Views
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote. Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa...
27 Reactions
257 Replies
2K Views
Hawa ndio wanasiasa 3 Ambao napenda Kuwasikiliza wanapotoa Hotuba zao. 1.Mh.Samia Suluhu Hassan -Huyu Huwa anaongea Kwa utulivu wa Hali ya Juu na ulimi wa kiungwana,hanaga makeke Wala mihemko...
2 Reactions
14 Replies
169 Views
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati...
1 Reactions
0 Replies
16 Views
Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya...
3 Reactions
31 Replies
646 Views
Kampuni nyingi za USA, German zimefungua viwanda China Mf Apple, Tesla, Voksiwagen ingawaje kampuni bado ni za USA au Ulaya
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…